W wastani kwa idadi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 503 Reaction score 1,432 Jul 6, 2024 #1 Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Jul 6, 2024 #2 Maisha ni fresh tu. Rafiki au mtu Baki anaweza akakufaa kuzidi hata ndugu wa damu
W wastani kwa idadi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 503 Reaction score 1,432 Jul 6, 2024 Thread starter #3 ngara23 said: Maisha ni fresh tu. Rafiki au mtu Baki anaweza akakufaa kuzidi hata ndugu wa damu Click to expand... Ni kweli lakini urafiki hauwezi kuwa solid kama undugu
ngara23 said: Maisha ni fresh tu. Rafiki au mtu Baki anaweza akakufaa kuzidi hata ndugu wa damu Click to expand... Ni kweli lakini urafiki hauwezi kuwa solid kama undugu
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Jul 6, 2024 #4 wastani kwa idadi said: Ni kweli lakini urafiki hauwezi kuwa solid kama undugu Click to expand... Una miaka mingapi kijana!
wastani kwa idadi said: Ni kweli lakini urafiki hauwezi kuwa solid kama undugu Click to expand... Una miaka mingapi kijana!
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Jul 6, 2024 #5 we ni me au ke
A Attack JF-Expert Member Joined Jun 29, 2022 Posts 894 Reaction score 1,608 Jul 6, 2024 #6 wastani kwa idadi said: Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ? Click to expand... You will never walk alone....
wastani kwa idadi said: Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ? Click to expand... You will never walk alone....
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,052 Reaction score 2,995 Jul 6, 2024 #7 wastani kwa idadi said: Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ? Click to expand... Huwa unaishi kwa hakili sana sababu kosa lolote utakalo lifanya litakuhusu wewe mwenyewe
wastani kwa idadi said: Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ? Click to expand... Huwa unaishi kwa hakili sana sababu kosa lolote utakalo lifanya litakuhusu wewe mwenyewe
A Attack JF-Expert Member Joined Jun 29, 2022 Posts 894 Reaction score 1,608 Jul 6, 2024 #8 Killing machine said: Huwa unaishi kwa hakili sana sababu kosa lolote utakalo lifanya litakuhusu wewe mwenyewe Click to expand... Mhuuu
Killing machine said: Huwa unaishi kwa hakili sana sababu kosa lolote utakalo lifanya litakuhusu wewe mwenyewe Click to expand... Mhuuu