Wale tulio single kwa kupenda tukutane hapa

Wooooyyyy..toka mwezi May 2020 mpaka sasa.
Mwaka na miez 4
 
Hakuna anayependa kuwa single, wakati dunia ina watu kibao.Ukikosa huku vuka bara na bara, kuwa single ni zaidi ya ulemavu
 
Single ipi?????

Single single maana hujaolewa na huna mpenzi


Single kwa maana una mpenzi haeleweki upo upo huelewi


Au

Married but Single?????
Maana kuna waliooa/kuolewa ila wenza wao hawana habaaaaaaaariiiii!!!!! Ni sawa na wanaishi wenyewe tu!


Dadavua pulizi
Yaani tuko single sio kwa kukosa. Watu Bali ni kwa maamuzi yetu tu. tujadili hapa .
 
Category zote yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…