lugabussa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 557
- 523
Daah naenjoy kuwa single Mana maisha ya kupelekeshana hapana nilimwambia akae kando nibaki single boy saivi maisha Ni murua sansYaani tuko single sio kwa kukosa. Watu Bali ni kwa maamuzi yetu tu. tujadili hapa .