Kwa mfano.ukitaka kuwa mchimbaji wa kujitegemea.alaf hauna hela ya kula machimboni,utaweza kweli?Kwa upende wangu ni dhahabu, tusubir wa mererani watup maisha yao ,na wazee wa ruby na Vito vingine
Uliupata utajiri? Najua ndicho kilichokupeleka kule!Kwa upende wangu ni dhahabu, tusubir wa mererani watup maisha yao ,na wazee wa ruby na Vito vingine
Duuh kama hamna mali iliyotoka?si mtalala njaaKama mashimo yanatema huwa kuna watu wanakuwa na hissa kwa kuwalisha msosi na vitu vya Ku bust energy mkitoa mzigo wanapata share
[emoji15] [emoji15] .haya powa.huko sipawez kiongozi.labda niwe brokerMlishaji anatakiwa kukulisha wakati wote had I pale shimo litakap tema
Alaf kuna ishu mtu akipata mali jamaa wanaweza wakakuua ni kweli?Mgodini hujui majira yanaendaje kule hmna kusali kwamba Leo n jumapil ,jumamos wala ijumaa kila Siku n weekend na kila siku ni siku ya kazi
Hapana ,inategemea kuna ujambazi kuna kuibiwa kwamba hujui madini, kuna kupigana hasa shimo likitema ,mwenye nguvu ndo anachukua mzigo .swala la kuuliwa eti umepat mali hilo m sijawahi liona myb mahali pengineAlaf kuna ishu mtu akipata mali jamaa wanaweza wakakuua ni kweli?
[emoji1] [emoji1] [emoji2] ile hendo ya kuvutia fero ikichomoka huwa inapiga kifua hadi unazimiaKuna mzigo unaitwa 'kuvuta felo', ukifika kwa mara ya kwanza hapo hujui dhahabu, wala haujui ponchi, cha kwanza lazma uanze na felo. ...!!! Mgongo na kiuno. ..uneza usizae tena!
Wavuta felo hata chakula chao ni mlima (hasa makande). Kwa kifupi ukizoea maisha ya machimbo ni sawa na kuwa teja.Kuna mzigo unaitwa 'kuvuta felo', ukifika kwa mara ya kwanza hapo hujui dhahabu, wala haujui ponchi, cha kwanza lazma uanze na felo. ...!!! Mgongo na kiuno. ..uneza usizae tena!
Bila kusahau mboga ni dagaaa daily. [emoji3] [emoji3] nakumbuka tulikuwa na claim holder mmoja, dagaaa zikiisha ataenda chuma majani ya mmea wowote eti ndio mboga. .!! Majani ya mbigili, migunga, matunduru, majani ya chochote kile..!! HUYO SITAKAA NIMSAHAU.Wavuta felo hata chakula chao ni mlima (hasa makande). Kwa kifupi ukizoea maisha ya machimbo ni sawa na kuwa teja.
Kuna siku jamaa walinikaribisha chakula, nikanawa nilipomega tonge nikakumbana na mboga ya ukwaju. (ukwaju umelowekwa kwenye maji kupata mchuzi).Bila kusahau mboga ni dagaaa daily. [emoji3] [emoji3] nakumbuka tulikuwa na claim holder mmoja, dagaaa zikiisha ataenda chuma majani ya mmea wowote eti ndio mboga. .!! Majani ya mbigili, migunga, matunduru, majani ya chochote kile..!! HUYO SITAKAA NIMSAHAU.
Mboga inatiwa chumvi ya kutosha na Pili Pili ya kufa jamaa. ....!!! Hapo ugali utaisha mboga itabaki na ya jioni.Kuna siku jamaa walinikaribisha chakula, nikanawa nilipomega tonge nikakumbana na mboga ya ukwaju. (ukwaju umelowekwa kwenye maji kupata mchuzi).