Wale tulio wahi kuishi maisha ya machimboni tukutane hapa

Wale tulio wahi kuishi maisha ya machimboni tukutane hapa

Siku ya kwanza nakumbuka naambiwa kuingia shimoni mwenyew kupiga ponchi nilihis ndo mwisho wa dunia . mashimo yalikuwa marefu sana takriban daki 45 unatumia kushushwa huku una kitochi chako kichwani unashushwa kwa matusi ya kutosha na jamaa wakanikata stimu kabisa wakanipa UDI na kiberiti nikawashe uko shimon jini litupe Mali Duuuh huo uoga wa majin changanya uoga wa urefu wa urefu wa shimo hatari
 
wewe ulikuwa mgodi gani..pia anza kutuelezea na ugumu ulioupata
Nimetembea migodi mingi mfano. Ngazi 7,nyarubezi,shenda,sekenke,betri, nyarubezi mbili jero ,kanseli , ugumu ni ufike huna mwenyej ujichangany na wadau muanzishe kuchimba duara ,hapo kundin kuna wala bangi,viroba, mabaunsa jinsi y kwenda nao sawa ndo inshu
 
Siku unachimba ukamua kupumzka ukaota umefukiwa n duara siku hiyo ndo ya kupata,ama umepiga kazi mwili ume kataa ,wadau wana lazimisha uchimbe ukitii lazma ukutane n mzigo , wasukuma huko wanaita ng'ana
 
niliwahi kuingia duarani sehemu moja huko igunga ,tabora inaitwa busenge kwenda kupakia mzigo kwenye gunia ili mzigo uvutwe kwenda juu mwisho wa siku nilikuwa naambulia patupu ,maisha ya machimboni ni nusu uhai nusu kifo binadamu ana roho ngumu sana imagine unashuka chini ya shimo huku umeshika kamba ya katani yaani inafika wakati ile kamba inacheka mkononi inakukuwa moto kabisa na unakuwa labda bado hujafika kwenye kituo unatamani kuachia kamba
 
Niliwahi kufungua biashara Fulani machimboni kahama
Nikapata kademu ka kitutsi kaliko kuwa kanauza hoteli
Basi saa nne usiku nakafuata naenda kulala nako nyumba ya turubai nakagegeda balaa nako kanapenda mb.o yaani ukipumzika kidogo kanakuamsha Kanataka tena.nilikuwa napiga game hadi nasimamia ukucha kana squirts kinoma
Ila asubuhi saa mbili nikienda hotelini kananipa supu ya nguvu Na chapati
Eti nirudishe sperm!!
 
Nenda kapime vvu joh
 
  • Thanks
Reactions: B40
images.jpeg
 
Back
Top Bottom