Wale tulioanza maisha ya kujitegemea kigumu tukutane hapa

Maisha ya geto kwangu yalikua kawaida sana. Nina mwanangu mmoja tulikutana chuo, tulizoeana sana utafikiri utotoni tulicheza wote kumbe tumekutana ukubwani tu. Jamaa yeye alikua anakaa hostel wakati mimi nilikua nimejihifadhi kwa ndugu pande fulani hapa mjini. Ukiamka asubuhi unaanza kuchota maji ya nyumba nzima kabla hujaenda chuo. Sasa nikiwa mwaka wa Pili mshkaji akaniambia niondoke home nae atoke hostel tukapange mtaani. Dah wazo zuri lkn huko mtaani naendaje wakati ada ya chuo tu kimbembe (sikua na mkopo) , nikamwambia mshkaji me sina kitu huko mtaani hapatakalika mambo ya kodi na mazaga zaga ya geto yatanishinda. Jamaa akaniambia we ucjali me nitasimamia show we njoo geto tu tuanze life. Kweli mshkaji alitafuta room, akanunua godoro, kitanda na vikorokoro vyote muhimu, Mchizi natia timu nakuta geto limetimia. Miaka miwili baadae tumemaliza chuo, wazazi wa mshkaji wakamwambia atoke geto arudi home maana chuo amemaliza hana sababu ya kuendelea kukaa geto. Hakuna namna ilikua lazima mshkaji arudi home, nikabaki peke yangu geto maana kwa ndugu nilipokaa mwanzo sikuweza kurudi tena. Mshkaji alipoondoka geto aliniachia kila kitu, yeye alichukua nguo zake tu hivyo ilikua rahisi mimi kuendelea na maisha ya geto. Baada ya mwaka mmoja nilipata kazi nikahama pale geto na kuendelea na maisha mengine.
 
Poa sana aisee.

Miezi 4 tu kulala chini unalia mzee baba?
Mimi nilianza na Godoro na mziki mnene ndani na nilikuwa sioni soo hata kuacha mlango wazi. Nililala chini kama miezi 7.

Sitasahau hiyo 2016.
Ulitisha mkuu, hiyo hela ya mziki si ungenunua kitanda kwanza[emoji3] [emoji3] ,ila mziki nao unaburudisha jamaniii
 
Huwa napenda saana muziki.
Maana toka nikiwa chuoni niliapa, bora nilale chini ila nianze na Godoro na mziki mnene chumbani.

Nilijua tu muda wowote nitanunua Kitanda.
 
Poa sana aisee.

Miezi 4 tu kulala chini unalia mzee baba?
Mimi nilianza na Godoro na mziki mnene ndani na nilikuwa sioni soo hata kuacha mlango wazi. Nililala chini kama miezi 7.

Sitasahau hiyo 2016.
Ulishawahi kupasikia kibra ya gaddaf?
 
Maisha ya geto kwangu yalikua kawaida sana. Nina mwanangu mmoja tulikutana chuo, tulizoeana sana utafikiri utotoni tulicheza wote kumbe tumekutana ukubwani tu. Jamaa yeye alikua anakaa hostel wakati mimi nilikua nimejihifadhi kwa ndugu pande fulani hapa mjini. Ukiamka asubuhi unaanza kuchota maji ya nyumba nzima kabla hujaenda chuo. Sasa nikiwa mwaka wa Pili mshkaji akaniambia niondoke home nae atoke hostel tukapange mtaani. Dah wazo zuri lkn huko mtaani naendaje wakati ada ya chuo tu kimbembe (sikua na mkopo) , nikamwambia mshkaji me sina kitu huko mtaani hapatakalika mambo ya kodi na mazaga zaga ya geto yatanishinda. Jamaa akaniambia we ucjali me nitasimamia show we njoo geto tu tuanze life. Kweli mshkaji alitafuta room, akanunua godoro, kitanda na vikorokoro vyote muhimu, Mchizi natia timu nakuta geto limetimia. Miaka miwili baadae tumemaliza chuo, wazazi wa mshkaji wakamwambia atoke geto arudi home maana chuo amemaliza hana sababu ya kuendelea kukaa geto. Hakuna namna ilikua lazima mshkaji arudi home, nikabaki peke yangu geto maana kwa ndugu nilipokaa mwanzo sikuweza kurudi tena. Mshkaji alipoondoka geto aliniachia kila kitu, yeye alichukua nguo zake tu hivyo ilikua rahisi mimi kuendelea na maisha ya geto. Baada ya mwaka mmoja nilipata kazi nikahama pale geto na kuendelea na maisha mengine.
Wema huo unaupata Kwa 1 kati ya mamia
Watu siku hizi wabinafsi
Huyo ndio rafiki sasa
Naamini hutamsahau maishani
 
Vip jamaa yako yupo wap na je mnashirikiana tena?
 
Back
Top Bottom