Wale tulioathirika na JF( mateja)tukutane hapa tujadili

Hahahaa huo uteja hata mimi ninao Shadeeya maana wakati ule jukwaa lilipofungwa tulilifata hadi nchi jirani

Nakumbuka ukimbizini tulikaa kambi moja, nyumba moja.........
Hahaaaa. Kipindi kile ilikuwa hatari Ses.

Ila mwenzio ushaisha sasa sina uteja wa Jf ndio maana naweza kaa hata siku nzima sijaingia humu.
 
Hahaaaa. Kipindi kile ilikuwa hatari Ses.

Ila mwenzio ushaisha sasa sina uteja wa Jf ndio maana naweza kaa hata siku nzima sijaingia humu.
Hongera kwa kukata uteja mamii maana saa nyingine inabidi kuangalia na majukumu mengine
 
Bila jamiiForums nikama mboga bila chumvi
 
I was addicted lakini baada ya kutemwa na kipenzi changu Cha moyo nimelose interest. Nafungua jf kwa kujilazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…