Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Kipindi kile ilikuwa hatari Ses.Hahahaa huo uteja hata mimi ninao Shadeeya maana wakati ule jukwaa lilipofungwa tulilifata hadi nchi jirani
Nakumbuka ukimbizini tulikaa kambi moja, nyumba moja.........
Ila mwenzio ushaisha sasa sina uteja wa Jf ndio maana naweza kaa hata siku nzima sijaingia humu.