Wale tuliofanikiwa kwenye BETTING embu tujuane hapa!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Binafsi nilikuwa na bet kwa kuweka kumbukumbu kwenye daftari. Yaani nilikuwa na ukurasa wa Hela niliyobetia na ukurasa wa Hela niliyokula. Baada ya miezi kadhaa nikapata nimempa Mhindi Tshs 1,122,000/= na niliyokula ni Tshs 258,174/=

Hakuna kukata tamaa, one day yes Wawekezaji wenzangu😜😜

BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE!
 
Ulikua unabet ki ndezi + tamaa
 
Betting sio kwa kila mtu, betting ni kwa watu wachache tu
 
Sasa umefanikiwa nini hapa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…