Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama.

Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho.

Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora wake.

Wauzaji waliweza kutupanga foleni na ndevu zetu kusubiria hii mishikaki, pembeni kuna ndizi na viazi na wengine walijiongeza kuwafungia wateja wakale nyumbani.

Wanafunzi siwezi kuwasemea maana hakuna aliyewaacha huyu bwana.

Baada ya miaka kadhaa alipatikana bwana mmoja pale tandika alikamatwa akiwa amechinja paka wapatao 10 plus, alipoulizwa wa nini hapa ndipo aliniacha hoi alisema anatengeneza mishikaki na ana miaka zaidi ya sita enzi hizo alipokamatwa.

Alipoulizwa anafanyia wapi akajibu ana branch ubungo kituoni mbili, mwenge mbili na ubungo kwenda Kimara ana branch kila kituo wale wa Kimara natumain tulienjoy sana hizi nyama.

Kama ulizikosa ubungo basi kituo unachoshukia lazima upite nazo, ilinichukua muda kuamini lakini moyo ukakubali tumekula sana nyama za paka na yule bwana sikujua walimshtaki ama lah.

Ila popote ulipo kama unasoma jamii forums naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga foleni.

Nawatakia wote mliokula hii mishikaki happy new year in advance!
 
ila popote ulipo kama unasoma jamii forum naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga folen[emoji1787]
Ila mpwa zile hazikuwa za paka tuu bali
za umbwa (koko)
vibudu vya ng'ombe
maiti za mimba za ng'ombe waliochinjwa
ngozi zilizochunwa
mataputapu ya machinjioni
mipanya buku nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpwaaa ukitaja mbwaaaa ntaaarisha kama weweee duh..kwahioo jamaa alikuwa anatupiga mixer mmh..niliwaza sana hili huyubwana kama anadaka paka wale mbwaa tunaowagonga wanasalimika kweliiii

Waheheheeeeempooooooooo????????■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■
 
Na huenda mlilishwa zaidi ya paka...
 
Ni uamzi tu mkuu,kwenye mataifa ya wengine huko huenda paka na mbwa ndio hutumiwa km kitoweo #1.
 
Street food ni nzuri, lakini mishikaki? Ya mia sjui mia mbili, mara jero?

Hiyo hela si nile bigbom nipunguze njaa kwanza.
Ilee ya miaaa
200 ndio yenye afyaa mwili ni
 
Kwavile hamkufa,basi ni nyama halali.
 
Ilee ya miaaa
200 ndio yenye afyaa mwili ni
Sina hata miaa

Ila hizo vitu za mia mia sijawahi kula.. kitu cha ajabu nimewahi kula huko zamani, ni kwa Aziz Ally pale nilikulaga zile kachori wanauza na mipweza 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…