Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

Khee! Haya… bado, mpaka siku mle, mtapike na kuhara maini… mtajifunza kuapply formula kwenye hizo njaa.
Ujue vitu vingine ni hofu ya Mungu tu inatakiwa iwepo ndani ya mtu awe muwazi.... sikuhiz vitu viingi ni vya kijanja janja Sana ,watu wanafanya kazi Ili wapate maokoto

Hujawai sikia mboga za majani zinamwagiliwa maji machafu ya viwandani,Michele wanachanganya n.k ukiwasema hao wa nyama na ww ipo tu sehemu umeguswa
 
Ni uamzi tu mkuu,kwenye mataifa ya wengine huko huenda paka na mbwa ndio hutumiwa km kitoweo #1.
Kwelii mkuuuuu
Niliwahi kuwa Hotel moja Congo tukala breakfast,..tukajaza nyama kama atuli tena jamaa wanatuchora ilipoisha tukaenda kuangalia tulipopakua hazipo tukaita jamaa wakasema 5 mns..aisee kilichokuja staking kukumbuka

Aliletwa NYANII ameshababuliwa anakatwa mbeleyetu nyama zinapangwa pale tulipopakua ..hakuna alierudi tena kama mm nilienda chooni nikaishia chumban
 
Ujue vitu vingine ni hofu ya Mungu tu inatakiwa iwepo ndani ya mtu awe muwazi.... sikuhiz vitu viingi ni vya kijanja janja Sana ,watu wanafanya kazi Ili wapate maokoto

Hujawai sikia mboga za majani zinamwagiliwa maji machafu ya viwandani,Michele wanachanganya n.k ukiwasema hao wa nyama na ww ipo tu sehemu umeguswa
Unajua michicha mingi inatokea mto.msimbazi ushawahi pita ukaona majiyake (usinwambie mtu)mwendowa protein.....
 
Kwelii mkuuuuu
Niliwahi kuwa Hotel moja Congo tukala breakfast,..tukajaza nyama kama atuli tena jamaa wanatuchora ilipoisha tukaenda kuangalia tulipopakua hazipo tukaita jamaa wakasema 5 mns..aisee kilichokuja staking kukumbuka

Aliletwa NYANII ameshababuliwa anakatwa mbeleyetu nyama zinapangwa pale tulipopakua ..hakuna alierudi tena kama mm nilienda chooni nikaishia chumban
FB_IMG_1703999086786.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawai sikia mboga za majani zinamwagiliwa maji machafu ya viwandani,Michele wanachanganya n.k ukiwasema hao wa nyama na ww ipo tu sehemu umeguswa
Unataka kulefusha mjadala?

Nikujibu kwa kifupi…nani amekwambia nakula mboga za kununua? My friend, nimezungukwa na wakulima’ wakulima product za SUA, wanaolima kimaandishi na kiuhalisia…ABC ninazo nyingi sana.

Takataka pekee nayokula ni chips mayai, na soda… na soseji kwa nadra sana
 
😂😂Sawa bhna....nimejaribu kufungua tu kichwa chako uone haya madhara siyo hawa wenzetu tu
 
mwambaaa huyoooooooo mwambaaa huuoyooo
 
Attachments

  • AKAMATWA KWA KUUZA NYAMA YA PAKA.jpg
    AKAMATWA KWA KUUZA NYAMA YA PAKA.jpg
    16.6 KB · Views: 4
Napitatu
 
Attachments

  • Screenshot_20231231_081922_Chrome.jpg
    Screenshot_20231231_081922_Chrome.jpg
    146.5 KB · Views: 2
Hahahahaha tulikuwawengi
 
Attachments

  • Screenshot_20231231_081719_Chrome.jpg
    Screenshot_20231231_081719_Chrome.jpg
    114 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231231_081654_Chrome.jpg
    Screenshot_20231231_081654_Chrome.jpg
    96.1 KB · Views: 2
Mkuu pole sana..Hakika nyama zilikuwa tamu aisee..kumbe ni Paka😀😀😀😀
Ndioompwaaaa katamuuuu balaaa walitiondoleaa ...zetu bana m ningeshauri wamwonyeshe jinsi ya kuboresha zaidi
 
Nyama isiyochakachuliwa mpwa ni hii tuuView attachment 2858057

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa.mpwaa
sifa no 1
Insafisha dhambi kubwaa na ndogo

2.inarekebisha ndoa zilizo icu na zenye msuguano kama una matatizo ya ndoa mpeleke mwenzi mkaonje hii kama ajakupa syyle zote sikuhio

3.&4 nisitiri mpaka 2024 mpwaaaa wasijeongezeka wateja mwakampya tukakosaa chakula tar 1 jan
 
Back
Top Bottom