Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

Ndioompwaaaa katamuuuu balaaa walitiondoleaa ...zetu bana m ningeshauri wamwonyeshe jinsi ya kuboresha zaidi
Jamaa akili nyingi sana.
Hana tofauti na wale Jamaa na Itigi kule kuna Kuku anapaja mbuzi hafikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Depal kwani hizo mboga unapewa bure?
 
Ule nkate wa bwana walitakiwa kutilisha hii kitu mkuu napeleka ombi kwa papa...
Hii kitu, Waliosema ni Haramu ..kuna namna walikula hii wakatenda dhambi mbele za Bwana.
Naagiza iandaliwe mchana.
 
Hivi yule wa Tinde bado yupo?
Mkuu kuna sehemu mbele ya Itigi ni kituo maarufu sana cha Train letu la kwenda Baraa..pale pana kuku hujawahi ona.

Kuna jamaa na familia miaka ya 2007 walikula kisamvu pale...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na kuku wa kukaangaa..aisee waliharisha mpaka tunafika Dodoma hali zilikuwa mbayaaa..
Kuku wa vile sijawahi ona hii TanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii kitu, Waliosema ni Haramu ..kuna namna walikula hii wakatenda dhambi mbele za Bwana.
Naagiza iandaliwe mchana.
Unajuaaa kisa cha kuita harambee
Huumzigo ulikuwa mdogo enzi hizo na master kuhisi anaweza kuwa anamisi akatangaza haramuuuu

Umenikumbusha mbali she mmoja pale magomen rip alikuwa akiitisha vikao na wenzio wanagaiwa chupa za soda yeye anapelekewa kopo la koka limefunguliqa kumbe ndani kuna mzigo

Jamaa kila akiendeleea kuhutubiaa anachekesha watu .....siku ya kuja kushtuka too late....
 
Labda walikula ndege John.
 
Insafisha dhambi kubwaa na ndogo[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asikwambiemtu banaaaa
Kitokachoo ndioo haramuuu patelleaaa mbaliii
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    13.6 KB · Views: 2
Na kupanda bustani pia hujui? πŸ˜‚πŸ˜‚
Shida umesema unazungukwa na wakulima..!! Nikajua hawakuuzii bali wanakupa bure..!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kama unalima mwenyewe sawa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…