Wale tuliopata PM za ushindi wa shindano la story of changes na baadae tukaangukia pua njooni tujifariji humu

Nimejifunza wajumbe oops majaji wa JF sio watu wazur πŸ˜πŸƒβ€β™€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚ Majaji wana 60% sisi watu baki tuna 40%..
Halafu wanapiga vya kimyakimya kinaumana siku yao ya mwisho tu!.
 
Hiyo story of change inapatika wapi? Nimeona tu votes ila sijui hata wapi ipo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Majaji wana 60% sisi watu baki tuna 40%..
Halafu wanapiga vya kimyakimya kinaumana siku yao ya mwisho tu!.
It's not fair kwa shindano ambalo watu wengi wameandika na kupata zero vote mtu anapata vote 1000 usimpe hata nafasi ya tano? Mnhhhh
 
Pole sana hadi nimekuonea huruma. Sijawahi kukusoma humu ukisikitika kiasi hiki. Pole sana.

Asante mkuu πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
 
Mbona siwaoni mlioangukia pua au ni mimi peke yangu? Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…