Hata soton anaweza chukuaKombe watachukua Man United na Chelsea???
Mimi mmojawapo, ingawa ni mapema ila tukubali tu, Pep ni kocha bora duniani. Ni zaidi ya Mourinho maana anakupa na burudani ya mpira, tik tak. Namtakia mema achukue vikombe kuthibitisha hili.
Exactly mkuu!!! Pep ni fundi bwana. Na ufundi wake kaupatia kwa mchezaji wake wa zamani/King Messi.
Inshort bila ya Messi pep angelikuwa wa kawaida sanaa. Mkuu ukiangalia hata tik tack mwanzilishi ni Messi.
Kama Arsenal vile wasivyotaka kuvunja kiboboooo, wameishia kuwa washiriki wa epl na kutwaa ngao ya hisani!!Pep kwa rasilimali alizo nazo (pesa + quality players) sioni kama msimu huu kuna team inaweza kushindana nae pale EPL
Ila huwa nashindwa ku judge ujuzi wa kocha na aina ya wachezaji alionao.
Mfano, tukimpa Pep team kama Arsenal hivi anaweza kwa wachezaji wale wale kufanya anayofanya akiwa na Man City?
Kiujumla simkubali sana kocha anafundisha team iliyojaa ma star kibao wanaojua mpira. Kocha anapata sifa kutokana na matajiri wa club kuvunja benki na kumkusanyia mashine za kazi. Wanamrahisishia kazi. Kama Zizzou sijahawi kumkubali kiivo kwamaana amekuta team ya watu wanaojua, angalia saivi wamechoka nae kocha anaanza kuwa exposed, anaonekana hajui. Time will tell.
Anyways mpira siku hizi umebadilika sana, kama haupo tayari kuvunja kibubu na kununua wachezaji wanaojua kwa bei kubwa basi ujue utaishia kushiriki tu na gombea kumaliza top four.
Wenye pesa za mafuta ndio watashinda Ligi kila msimu.
Tupambane na hali zetu jamani.
Acha urongo
Wewe acha utani, yaani Messi ndio muanzilishi wa Tik Tak? Acha utani mkuuExactly mkuu!!! Pep ni fundi bwana. Na ufundi wake kaupatia kwa mchezaji wake wa zamani/King Messi.
Inshort bila ya Messi pep angelikuwa wa kawaida sanaa. Mkuu ukiangalia hata tik tack mwanzilishi ni Messi.
Maisha bika unafki hayaendiLabda kwasababu ya chuki zangu binafsi simkuli pep mpaka basi yan
Johan cruyff angelikuwa hai na kusoma kituko ulichokiandika hakika angekuja kukupiga mashuti...Exactly mkuu!!! Pep ni fundi bwana. Na ufundi wake kaupatia kwa mchezaji wake wa zamani/King Messi.
Inshort bila ya Messi pep angelikuwa wa kawaida sanaa. Mkuu ukiangalia hata tik tack mwanzilishi ni Messi.
wewe unauguaLigi bado mbichi, hizi tathimini na tambo walau uanze kuzitoa kuanzia xmass