Wale tuliosema Guardiola atafeli EPL tukutane hapa

Wale tuliosema Guardiola atafeli EPL tukutane hapa

Mimi mmojawapo, ingawa ni mapema ila tukubali tu, Pep ni kocha bora duniani. Ni zaidi ya Mourinho maana anakupa na burudani ya mpira, tik tak. Namtakia mema achukue vikombe kuthibitisha hili.

No doubt he is the best, he is winning by playing attacking, beautiful style of football, combining silk and steel, we wish him and his team well and a lot of success this season.
 
Pep kwa rasilimali alizo nazo (pesa + quality players) sioni kama msimu huu kuna team inaweza kushindana nae pale EPL

Ila huwa nashindwa ku judge ujuzi wa kocha na aina ya wachezaji alionao.

Mfano, tukimpa Pep team kama Arsenal hivi anaweza kwa wachezaji wale wale kufanya anayofanya akiwa na Man City?

Kiujumla simkubali sana kocha anafundisha team iliyojaa ma star kibao wanaojua mpira. Kocha anapata sifa kutokana na matajiri wa club kuvunja benki na kumkusanyia mashine za kazi. Wanamrahisishia kazi. Kama Zizzou sijahawi kumkubali kiivo kwamaana amekuta team ya watu wanaojua, angalia saivi wamechoka nae kocha anaanza kuwa exposed, anaonekana hajui. Time will tell.


Anyways mpira siku hizi umebadilika sana, kama haupo tayari kuvunja kibubu na kununua wachezaji wanaojua kwa bei kubwa basi ujue utaishia kushiriki tu na gombea kumaliza top four.

Wenye pesa za mafuta ndio watashinda Ligi kila msimu.

Tupambane na hali zetu jamani.
Kama Arsenal vile wasivyotaka kuvunja kiboboooo, wameishia kuwa washiriki wa epl na kutwaa ngao ya hisani!!

Hii mantiki ya kocha bora kufanya kazi na mastaa ipo hata sekta nyingine..., mfano elimu.., shule zinazofanya vyema kuchukua best students tu, ukifaulu chini ya kiwango tupa kuleeee...!!
 
Exactly mkuu!!! Pep ni fundi bwana. Na ufundi wake kaupatia kwa mchezaji wake wa zamani/King Messi.

Inshort bila ya Messi pep angelikuwa wa kawaida sanaa. Mkuu ukiangalia hata tik tack mwanzilishi ni Messi.
Johan cruyff angelikuwa hai na kusoma kituko ulichokiandika hakika angekuja kukupiga mashuti...
 
Kuna watu watamtuliza
Mimi nitakua upande wa man u ili tu wafungwe happy wanaharamu
 
Kama ilivi kwa simba PL, Mancity wanachukua kombe mwaka uu labda wamue kuzembea,
 
Ile ligi ukipoteza mechi ya kwanza na upo kileleni, ikikuvuruga tu vitafuata vipigo na draw. Bado hajapoteza
 
Back
Top Bottom