Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Are you a single Lady au single mother! Una miaka mingapi? Hiyo avatar ndo wewe? Ukinijibu Mme umepata kabla ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya shela
🤣🤣🤣🤣! Shikamoo ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you a single Lady au single mother! Una miaka mingapi? Hiyo avatar ndo wewe? Ukinijibu Mme umepata kabla ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya shela
Niliuanza mwaka kwa malengo ya kuacha pombe. Haukuisha mwezi nikaendelea. Nikijiwekea lengo kujenga vyumba kupangisha, ikaja mipango mingine mingi, nikaachana na ujenzi. Nikapanga kuongeza ng'ombe wa maziwa shambani kutoka 11 hadi 20, ndio kwanza wamebaki 3. Sijui nimekwamaje. Hebu na nyie wenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app