Kisonga mshenz sana yuleMimi hao sikuwakuta lakini Kisonga nimemkumbuka tu
Major Mayebe....kuna siku huyu afande alikua ana watafuta watoro,kuna jamaa aka ruka senyenge huku nyuma karibu na nyambizi kwenda mbuyu wa kota,afande mayebe hakupata tabu alishika alama ya viatu vya jamaa aka muacha msela aliruka kavu ya mbele asikamatwe.kesho yake Mayebe alipita kila darasa shart wanaume wote kuinua miguu juu kutazama alama ya viatu hadi alimpata jamaa akampa elfu kumi na uongoz wa skauti alionesha ukakamavuKwa wale tuliopitia Makongo kuanzia enzi zabkuvaa kaptura mpaka suruali tukutane hapa kama wahenga tukumbushane ya kihenga kuanzia makundi ya NO LIMIT SOLDIERS, FEHAJ SISTERS....
Bila ya kuwasahau maafande wetu Mzee Kipingu, Marehemu Mzee Yeyeye, Mzee Miraji, Babu Chacha na wengineo na kwa wale waliofariki Mwenyezi Mungu azilaze roho mahala pema pepon.
Kulikuwa na vitu kama NYAMBIZI, majuto garden na kwa wale wenzangu wa bweni hawatawasahau akina MASTER MAYEBE, MSONGOLE, MATAULA, SENKONDO, ANKO PETER na wengineo
Tiririkeni wahenga wenzangu
Hahaha kafanyaje tenaKisonga mshenz sana yule
Ha ha ha alikua na misifa sana huyuHahaha kafanyaje tena
Kitambo sana.master mayebe alinifundisha maths 2001. Kipindi cha wagalatia. Sewaside nation. Palavida camp. Vitus. Rich rich. OG. Afande miraji alikua na usafiri wa baiskeli. Wakati huo naitwa mr cheeks nikiwa na mchizi wangu makaveli . Nikija shule naingilia ktk senyenge na kutoke ktk senyenge sipiti getini. Lebo nilikua nazo 2 kijani na njao mm ni kubandika kwa pin. I was stubborn man.
Namkumbuka sanaHa ha ha alikua na misifa sana huyu
Kumbe wote tumesoma paleMimi hao sikuwakuta lakini Kisonga nimemkumbuka tu
Kuna ticha wa hisabati aliitwa Master jamaa kawahi kumpiga denti na mbao kichwani ni nomaKuna Mtoto wangu alikuwa anatafuna Bazoka ( Big G) alipomuona Askari aliekuwa anawasimamia akiitwa Afande Miraji aliamua kuitema, Yule Afande alimlazimisha aiokote aitie mdomoni then aimeze, Mtoto nae Kwa hofu akatekeleza amri ile ya Kikatili!
Aisee Asubuhi niliamkia Kwa Kanali Kipungu nae ndio wale wale akaona Ni sahihi ile adhabu
Nilimhamisha Shule
Watoto wengi waliishia kuvuta bhangi Au Kuwa Watoro Na wengine wakawa ma Nunda
Makongo ya Miaka ya Mwisho ya 1990 lilikuwa Genge la Wahuni Kama Jitegemee
Kuna ticha wa hisabati aliitwa Master jamaa kawahi kumpiga denti na mbao kichwani ni noma
Halafu ilikuwa ukivaa fulana kwa ndani badala ya singlet unavua shati hadharani na kuitoa kisha inachomwa moto !!!
Hapo kwenye lebo ilikuwaga nomaKitambo sana.master mayebe alinifundisha maths 2001. Kipindi cha wagalatia. Sewaside nation. Palavida camp. Vitus. Rich rich. OG. Afande miraji alikua na usafiri wa baiskeli. Wakati huo naitwa mr cheeks nikiwa na mchizi wangu makaveli . Nikija shule naingilia ktk senyenge na kutoke ktk senyenge sipiti getini. Lebo nilikua nazo 2 kijani na njao mm ni kubandika kwa pin. I was stubborn man.
Kombha ni marehemu kwasasaDaaaaah sio mchezo Makongo na vituko vyake akina Afande Kisarika, Kombaha...ilikuwa shule ya jeshi lakini wanafunzi wake walikuwa manunda kweli kweli