Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Safi sana Mkuu na ww kumbe tuko pamoja chama la Makongo duuuuuu.
 
Teh teh teh Mkuu Makongo ya miaka hiyo ilikua moto sana aise maana nidhamu na matokea yake yalikua mazuri sana kuliko sasahivi imebaki jina tu.
 
We utakua intake moja nami au intake zilofata.sie ndiyo tuliizindua nyambizi mwaka 2000 necta.

Hiyo majuto habari ingine..
 
Huyo afande atakuwa alikuwa Kapteni kisarika

Huyu jamaa ndio mkono wake wa kulia kama umepinda flani hivi right...?

Dah, jamaa anachapa kama ndio huyo aisee. Halaf alikuwa sio mtu wa kuongea ila ukiingia kwenye 18 zake ni shida aisee.
 
Wakati wa Assembly hupenda kusema

"Order of Matching, No change.."
 
Siyo kweli mie nimemaliza F4 1994 kulikuwa hakunA hata nafasi ya kuvuta bangi na tulikuwa tunajisomea shule ya msingi makurumula,acha uongo toto lako miaka hiyo lilikuwa vutaji toka nyumbani kwako,Makongo hukuweza kuilinganisha na Jitegemee kwa nidhamu miaka ile
 

Hahahahah, baadae watukutu tulihamishwa aisee wakatupeleka KIZUKA nilikuwa na mwanangu Ferooz wa Daz pande zile. Mmenikumbusha mbali sana aiseee. Safi.
 
Makongo enzi hizo ilikuwa kituo cha taaluma, sanaa na michezo...akina Marehemu Chifupa, Daz Nundaz, Bon Crewz akina Eazy Mchwampaka, Salama Jabir, Mishi Bomba, Irene Ngowi nk kwenye kikapu sasa akina Gwantwa, Mpoki, Salum Kaindu, Kapwapwa, Mwaipungu, Gunze, Mlekwa, Jacob nk ilikuwa kwere kisanga na nususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…