Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Kuna patron alikua anaitwa afande Bry...asee ile staili yake ya kuchapa bakola maarufu kama Amina kadera ilikua ni hatari sana..
Brayson namkumbuka sana.....
Jamani Kuna MP mmoja alikua mweusi tiii na Ana mwili huyo alafu mrefu alikua getini pale shule.. Jumamosi naingia na suti yangu maridadi kaniweka Pembeni ananiwekea li buti lake la jeshi kwenye suti yangu huku anafunga kamba. Nilimmind sana Sema sikua na ubavu wa kumpa vya mbavu sababu nilisikia anatoka kile kikosi cha karibu pale cha MP.. Kinaitwa ONE _MP
 
Mimi nishawahi kupelekwa ofisini na Afande mmoja hivi Kapteni ana macho ya kibangibangi nikaambiwa nivue mbele ya walimu wa jinsia zote halafu sasa kifua kina vinyoya flani hivi nilimind kichizi
Hahahahahaha
 
Nani anaukumbuka ufisadi wa Afande Miraji kwenye vitambulisho ?

Alikuwa anatukalisha kwenye benchi watu wanne kwa mpigo na kutupiga picha kicha anakata tu vichwa na kufanya Passport Size
Hahahahahahaha kulaleki nimecheka balaaaa
 
Wahuni wengne hawa hapa
FB_IMG_1532448251906.jpg
 
Alikuwa anajifanya mbabe sana
Alishaniangushia kichapo nikiwa Form 4
Manyanyaso ya Makongo yalisababisha A Level nichague shule ambayo hakuna bakora ,kunyoana nywele/devu wala kufagia darasa na kukaa mstarini kama mawe
 
Alikuwa anajifanya mbabe sana
Alishaniangushia kichapo nikiwa Form 4
Manyanyaso ya Makongo yalisababisha A Level nichague shule ambayo hakuna bakora ,kunyoana nywele/devu wala kufagia darasa na kukaa mstarini kama mawe
Jamaa lilikuwa linapenda kuchapa kinoma
 
Daa Anko Peter alkuwa noma sana kushika majina ya kila mtu. Miraji akisababisha nikawa nashinda mbezi mana getini kupita ilkuwa mbinde ila Chacha alinikuta bwenini wacha anipe kichapo kazee kale buana kazi yake ilkuwa kukiss tu warembo! Yeyeye mwishon mwisho kabla hajafa (RIP) alkuwa na mitusi mmmmmm dah umenkumbusha mbali sana ili chimbo letu ila lyf goes on
Chacha kiboko .
Yaani.kuna mwanafunzi alimshika ziwa.Akaenda mbio kwa Mama ake
Mama ake naye hakukubari mbio mpaka shule ili kumshtaki huyo Mwl. ile anafika Getini Mama naye akashikwa Ziwa.
Guess what happened???
 
Kitambo sana.master mayebe alinifundisha maths 2001. Kipindi cha wagalatia. Sewaside nation. Palavida camp. Vitus. Rich rich. OG. Afande miraji alikua na usafiri wa baiskeli. Wakati huo naitwa mr cheeks nikiwa na mchizi wangu makaveli . Nikija shule naingilia ktk senyenge na kutoke ktk senyenge sipiti getini. Lebo nilikua nazo 2 kijani na njao mm ni kubandika kwa pin. I was stubborn man.
Cheeks wa pande za Sinza kwa Remmy Au?
 
Matokeo ya shule hii kongwe NECTA O level Na A level sio.....Makongo Imeporomoka mnooo kitaaluma
 
Kama ulikuwa unazurura mitaa ya mwenge lazima utaijua internet cafe maarufu ya wanafunzi WA Makongo GOLDEN INTERNET CAFE
 
Back
Top Bottom