Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Kuna patron alikua anaitwa afande Bry...asee ile staili yake ya kuchapa bakola maarufu kama Amina kadera ilikua ni hatari sana..
Brayson namkumbuka sana.....
Jamani Kuna MP mmoja alikua mweusi tiii na Ana mwili huyo alafu mrefu alikua getini pale shule.. Jumamosi naingia na suti yangu maridadi kaniweka Pembeni ananiwekea li buti lake la jeshi kwenye suti yangu huku anafunga kamba. Nilimmind sana Sema sikua na ubavu wa kumpa vya mbavu sababu nilisikia anatoka kile kikosi cha karibu pale cha MP.. Kinaitwa ONE _MP
 
Mimi nishawahi kupelekwa ofisini na Afande mmoja hivi Kapteni ana macho ya kibangibangi nikaambiwa nivue mbele ya walimu wa jinsia zote halafu sasa kifua kina vinyoya flani hivi nilimind kichizi
Hahahahahaha
 
Nani anaukumbuka ufisadi wa Afande Miraji kwenye vitambulisho ?

Alikuwa anatukalisha kwenye benchi watu wanne kwa mpigo na kutupiga picha kicha anakata tu vichwa na kufanya Passport Size
Hahahahahahaha kulaleki nimecheka balaaaa
 
Alikuwa anajifanya mbabe sana
Alishaniangushia kichapo nikiwa Form 4
Manyanyaso ya Makongo yalisababisha A Level nichague shule ambayo hakuna bakora ,kunyoana nywele/devu wala kufagia darasa na kukaa mstarini kama mawe
 
Alikuwa anajifanya mbabe sana
Alishaniangushia kichapo nikiwa Form 4
Manyanyaso ya Makongo yalisababisha A Level nichague shule ambayo hakuna bakora ,kunyoana nywele/devu wala kufagia darasa na kukaa mstarini kama mawe
Jamaa lilikuwa linapenda kuchapa kinoma
 
Chacha kiboko .
Yaani.kuna mwanafunzi alimshika ziwa.Akaenda mbio kwa Mama ake
Mama ake naye hakukubari mbio mpaka shule ili kumshtaki huyo Mwl. ile anafika Getini Mama naye akashikwa Ziwa.
Guess what happened???
 
Cheeks wa pande za Sinza kwa Remmy Au?
 
Matokeo ya shule hii kongwe NECTA O level Na A level sio.....Makongo Imeporomoka mnooo kitaaluma
 
Kama ulikuwa unazurura mitaa ya mwenge lazima utaijua internet cafe maarufu ya wanafunzi WA Makongo GOLDEN INTERNET CAFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…