Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Aisee,.umenikumbusha enzi za "udadavuzi" ngoja nishibe kwanza ugali wangu na udagaa hapa,.ntarudi...🏃♀️🏃♀️🏃♀️Natambua uwepo wa mabaharia wote mliosoma Kiswahili na Language kwa upande wa Olevel
Wale wa HGK, HKL, KLF, HGL
Elimu ilitulazimu kusoma baadhi ya vitabu, binafsi nilisoma kitabu kinaitwa "BARUA NDEFU KAMA HII" kile kitabu nuksi sana kimetoholewa kutoka lugha ya kifaransa kiliandikwa na Mwandishi kutoka Senegal MARIAM Ba.
Kile kitabu sikukielewa kabisaaaa
Kingine ni kile cha "Black Hermit"
Cc
yna2
bbade
Bera boy
@Basias
General Mangi
Mother Confessor
comrade kipepe
. Mkuu kile cha Barua ndefu kama hii kilikua kimetafsiriwa kiswahili ila ukisoma kurasa 2 unatoka emptyMimi nilivielewa, nikavitumia kujibia mitihani na kuvifuta kichwani mwangu.
Knowledge nliobaki nayo kichwani mwangu ni ya profession nliyosomea basii.
Unforgetable
Sikua napenda kusoma vitabu, kitabu nilicho soma nakuenjoi ni IS IT POSSIBLE, Pesa zako zina nuka, Vuta nikuvute, Kusadikika...Yani hata The Black Hermit kilikuwa tatizo kwako, basi naogopa nitamke neno gani
Ulisoma Meta mkuu?Dah Mariama Ba, umenikumbusha mbali sana. Kitambo hicho niko shule ya boarding huko pande za mbeya nkawa nasoma na jamaa HKL basi siku nimepigika nkamwambia mwanangu anipe kitabu cha hadithi nisome ndo akanipa hiko kitabu BARUA NDEFU KAMA HII ni miongoni mwa vitabu bora sana kuwahi kusoma, nlikitafuta mpaka English version yake inaitwa SO LONG A LETTER sijawahi kukichoka hiki kitabu
Nlikuwa RUNGWE nduguUlisoma Meta mkuu?
Nilikua hapo MetaNlikuwa RUNGWE ndugu
Bado sijawahi kutoka KAPA.......
Nipatie kimojawapo Mr. Marangu tusaidiane kutoka KAPA...
Mzima lakini?
Tafuta version ya Kiswahili ya Barua Ndefu kama hii
Ndio nakisikia kwako....
Fanya unitafutie....