Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Natambua uwepo wa mabaharia wote mliosoma Kiswahili na Language kwa upande wa Olevel
Wale wa HGK, HKL, KLF, HGL
Elimu ilitulazimu kusoma baadhi ya vitabu, binafsi nilisoma kitabu kinaitwa "BARUA NDEFU KAMA HII" kile kitabu nuksi sana kimetoholewa kutoka lugha ya kifaransa kiliandikwa na Mwandishi kutoka Senegal MARIAM Ba.
Kile kitabu sikukielewa kabisaaaa
Kingine ni kile cha "Black Hermit"
Cc
yna2
bbade
Bera boy
@Basias
General Mangi
Mother Confessor
comrade kipepe