Wale tuliotaka Sawadogo atolewe jana na aingie Kipenzi chenu Mkude naomba Analysis yenu tafadhali

Wale tuliotaka Sawadogo atolewe jana na aingie Kipenzi chenu Mkude naomba Analysis yenu tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili.

MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa Simba SC mliokuwa mnataka Sawadogo jana atolewe na aingie Kipenzi chenu Mkude mje na Uchambuzi wenu juu ya hili nami niujue Mpira kama nyie.

Hovyo kabisa.....!!!!!!
 
Tumekushauri uwe unasoma na vitabu.

Tafuta kitabu Cha Mwalimu Nyerere KINAITWA tujisahihishe
Mwaka 1962.
Page 8 tu.
 
Tumekushauri uwe unasoma na vitabu.

Tafuta kitabu Cha Mwalimu Nyerere KINAITWA tujisahihishe
Mwaka 1962.
Page 8 tu.
Unamshauri vipi Genius well taletend kusoma vitabu wakati anakuzidi uwezo kiakili wewe na akili zako mbovu ? MINOCYCLINE endelea kuleta uchambuzi murua hapa Jf usisikilize mipopoma kama haya .
 
Back
Top Bottom