Wale tuliotoka familia masikini na tukatusua kimaisha tukutane hapa

Inakuwaje "Board" ya shirika inaongozwa na Mkuregenzi?

Mwenyekiti huwa anaongoza Bodi ya Wakurugenzi, na siyo Mkuregenzi kuiongoza Bodi ya Wakurugenzi.

Hicho cheo chako hapana!
 
Mkuu historia yako imenigusa sana ,japo mm kwetu ni wa mwisho lakn pia sehemu kubwa mno ya maisha yangu ya kitaaluma nimejipambania mwenyewe .
 
Walitusua wanakaa kimya huwa hawaongei ongei sana
For inspiration purpose mkuu sio mbaya huwez kujua kuna watu wanapitia hayo aliopitia mkulungwa na wanaelekea kukata tamaa hili andiko linaweza kuwatia moyo waendelee kukaza sio kila mtu anayeelezea mafanikio yake ana lengo la kuvimba
 
Umasikini umekuwa sifa.

Ila naona kipato unachopata ni cha kawaida sana kama hutachukua hatua kwenda mbele zaidi.
Lisikie hili neno mkuu Kwa sikio tulivu...

Ila hongera maisha ni historia
 
Maisha ya jamii forum yanachanganya sana
Wewe juzi tu hapa sii ulisema uko second year au nimekuchanganya
Leo umeshakuwa manager tena kwenye kampuni mbili
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
I meant nilipokuwa mwaka wa 2 chuoni kaka. Now nina-approach 31 years.
Approaching 31 and you are already a manager in public sector??[emoji848][emoji848][emoji848]


[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Sijui hata niseme nin!?

But Hongera sna Mkuu

 
MWanajamvi nawasalimu!
Mungu ni mwema,pole kwa machungu usisahau kusaidia ndugu na jamaa ufanikiwe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…