Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka omba yasikukute, ndoa zina siri nyingi. Anyway, nimekusamehe na naomba niishie hapo.We jamaa ni muongo kinoma. Nilikushtukia ulipoanzisha uzi wa kutaka kufa kisa umevutwa pumbu.
Hivi mkeo alipata wapi jeuri ya kuvuta mapumbu ya Meneja na Mkurugenzi wa taasisi za umma?
Ni kweli, si uongo na ndio maana sijataka kuwa verified kwa cases kama hizi.Mshahara 8 halafu juzi Kati ulivutwa pumbu na wife?
Kwa nini? Si dhambi na si kosa kisheria. Umetoka familia tajiri au ya uchumi wa kawaida?Hata kama ningetokea maisha duni kiasi gani.
Sipendi kujionesha nimetoka kwenye umasikini.
Kama huamini au umeumia pole mno kaka. Mimi ni mgeni JF, sikujua kuna watu wabishi kama wewe.Hakuna kitu Kama hicho.
Na uishie hapohapo
8M imekutoa macho kiasi hicho? Mbona hela ndogo tu hiyo?Hakuna kitu Kama hicho.
Na uishie hapohapo
Kikubwa dua tu, hata mimi nilisota.Hongera jambo wengine tumetokea family maskini ila hatujatusua mpaka leo,dharau kutoka kwa family haziishi
Mungu aingilie kati tu
Hapana ni mipango tu, kwani kuingia JF kunapoteza muda gani?Mshahara wa m8 kwa mwezi maana yake na majukumu yanqongezeka... huwezi pata mida wa kupost ishu hizi hapa. Kama ni kweli basi una bahati
Sahihi kwako, utajuaje je, kama nipo kwenye mpango huo??kwa maelezo yako bado hujatusua, ungesema una kampuni yako inayokuingizia kadhaa hapo ningekuelewa
8M unaona ni helq nyingi eeeh? Ya kawaida mno kwa majukumu niliyonayo! Vizuri kwa kuniita hohehahe![emoji3][emoji3][emoji3] huyu hoehae tu anajipa moyo
Tuheshimiane kaka!Kwa hiyo wife alikuwa anavuta pumbu za mkurugenzi!
We chalii em acha kutufunga kamba humu.Sahihi kwako, utajuaje je, kama nipo kwenye mpango huo??
Ni kweli upo sahihi, ila hiyo niliongelea muda mno, nilipokuwa 2nd year chuo.Kwenye Uzi wake mwingine hukoView attachment 1959714
Ni kweli kaka, basi huu ndio uhalisia kamili. Post ya chuo na JKT ni ya dogo tu nilitumia kisa chake. Mimi nakimbilia uzee now, 31 si haba.Mwamba anatuburuza an.
Huo uzi ulipost september 18 mwaka huu.... Hapo ulikuwa second yr...Ni kweli upo sahihi, ila hiyo niliongelea muda mno, nilipokuwa 2nd year chuo.
KwendraaaaaNi kweli kaka, basi huu ndio uhalisia kamili. Post ya chuo na JKT ni ya dogo tu nilitumia kisa chake. Mimi nakimbilia uzee now, 31 si haba.
Amen!Mna pepo la umasikini kwenu kemea hiyo hali,inaweza kujirudia kwa kizazi chako/chenu
Bro, basi huu ndio uhalisia wangu sasa. Nimeshakujibu angalia quote utaelewa.We chalii em acha kutufunga kamba humu.
Jiandae urudi ukafanye supplimentary test uko.
Ok! Upo huru kuamini chochote.Kwendraaaaa