RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sio siri mimi jiji hili la Makonda nimezijua sehemu nyingi kwasababu ya kufuatilia papuchi. Pamoja na kuzaliwa mji huu ila kuna sehemu kama sio totoz nisingefika maana hamna sababu yoyote. Totoz zimesababisha nimepajua Chamazi,Mbagala,KitundaMwanagati,Bomu bomu,Yombo Dovya na sehemu kibao ambazo kiukweli nisingefika huko!
Kali siku moja nimeopoa mtoto baada ya kujirusha ikabidi nimrudishe kwao usiku mkubwa, tukaingia mitaa ya kati huko Karakata ndani ndani huko. Baada ya kumshusha wakati narudi ilinichukua kama nusu saa kuipata main road maanake nilipoteza ramani kabisa bahati nzuri kuna gari ikatokea nikasimamisha jamaa akaniambia nifuate nyuma!