Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nakaa sana ndani ila sehemu nyingi nimezijua kwasababu ya totoz,masela tunakutana kijiweni.Dar nazijua sehemu chache... Tanga ndipo napopajua zaidi hata ya Arusha. ila sio watoto wa kike....
Mimi ni mtu wa ndani saana. Nyie viwembe hatuwawezi bhana unatoka kwenu Masaki unawafuata watoto kwa Dampo????
Kuna kitu unakielewa kuliko chura?Kuelimishana linatakiwa kuwa ni suala la kudumu na endelevu hata kama unanichokoza!....Pia nilichoandika mwingine anaweza kukisoma akapata chakula cha akili na rohoo siyo lazima kila nilichokuquote kikuhusu wewe peke yako!
Nguvu ya ile kitu ni khatarHalafu wakati wa kurudi ndio unaona umbali....
Nlikua nalitafuta hili jina si ndo maeneo ya mlimani unapita kwenye get?mara ya mwanzo kwenda goba vichochoroni uko ilikua ni kumfata demu
Njia zipo nyingi, au yawezekana unaongelea CHANGANYIKENINlikua nalitafuta hili jina si ndo maeneo ya mlimani unapita kwenye get?
Wasalimie hapo kibeberu shogaangu..[emoji5][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watoto wa uswazi kama siye balaa...karakata huko lazima upotee kama huna ramani
Mimi sijui asee dah nilipata tabu sana kurudiNjia zipo nyingi, au yawezekana unaongelea CHANGANYIKENI
Naitumia sana na inasaidiaZero grazing....
Kwahio ukikutana nae akikwambia anaishi mita 2000 unamuacha sio?Mm huwa sifuatilii papuchi nje ya mita elfu moja na nilipo, mm nimezaliwa Arusha City, sasa hivi nipo dar lakini ukinitoa nje kidogo home na job ukananipeleka mtaa wa tatu umenipoteza mazimaaaa...
Labla huu uzi haunihusu