Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

nishaona fursa ya kujipatia kipato hapa siku nyingine tutawaambie hawa Makahaba mnaowatafuta wawalete vichochoron wahuni tuwakabe mpaka mtatia akili
Sio makahaba mkuu.....ni wanawake wazuri tu wanajiheshimu
 
Dar nazijua sehemu chache... Tanga ndipo napopajua zaidi hata ya Arusha. ila sio watoto wa kike....

Mimi ni mtu wa ndani saana. Nyie viwembe hatuwawezi bhana unatoka kwenu Masaki unawafuata watoto kwa Dampo????
Hata mimi nakaa sana ndani ila sehemu nyingi nimezijua kwasababu ya totoz,masela tunakutana kijiweni.
 
Kuelimishana linatakiwa kuwa ni suala la kudumu na endelevu hata kama unanichokoza!....Pia nilichoandika mwingine anaweza kukisoma akapata chakula cha akili na rohoo siyo lazima kila nilichokuquote kikuhusu wewe peke yako!
Kuna kitu unakielewa kuliko chura?
 
Mm huwa sifuatilii papuchi nje ya mita elfu moja na nilipo, mm nimezaliwa Arusha City, sasa hivi nipo dar lakini ukinitoa nje kidogo home na job ukananipeleka mtaa wa tatu umenipoteza mazimaaaa...

Labla huu uzi haunihusu
 
Mm huwa sifuatilii papuchi nje ya mita elfu moja na nilipo, mm nimezaliwa Arusha City, sasa hivi nipo dar lakini ukinitoa nje kidogo home na job ukananipeleka mtaa wa tatu umenipoteza mazimaaaa...

Labla huu uzi haunihusu
Kwahio ukikutana nae akikwambia anaishi mita 2000 unamuacha sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…