cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Duh wanatamaa na kuiba wazi wazi.. hatari hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dstv hakuna haja ya kuwapigia unabadilisha mwenyeweKwenye hili nawapa hongera sana Azam, yaani ukinunua kifurushi jana yake kwa mfano, labda cha elfu 23,000 halafu leo ukabadili mawazo na kutaka kifurushi cha 36,000 basi unawapigia na unawaeleza na kuwapa namba ya Decoder then unaongeza 13,000 wanakubadilishia chap...
Hata dstv mbona wanafanya hvyo huna haja ya kuwapigia unafanya mwenyewe kupitia app ya dst au ussd code unatop up then unapandisha kwenda kifurushi unachotakaKwenye hili nawapa hongera sana Azam, yaani ukinunua kifurushi jana yake kwa mfano, labda cha elfu 23,000 halafu leo ukabadili mawazo na kutaka kifurushi cha 36,000 basi unawapigia na unawaeleza na kuwapa namba ya Decoder then unaongeza 13,000 wanakubadilishia chap...
Kiuhalisia sio utapeli, bei ya vifurushi vya dstv kwenye sehemu kama bar, kazini n.k ni tofauti na bei ya dstv kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Nadhani walitumia ujanja kuwanasa.Utapeli mkubwa daah poleni wakuu
Kama ulikuwa na uwezo wa kulipia mwanzo lipa na sasa au umeachwa na mumeo aliyekuwa anakulipia?Dada mwajuma kila siku nakuambia uwe unatumia kichwa kufikiria badala ya masaburi, kitonga gani wakati tulikuwa tunalipa pesa zetu
Duhh.. sio poa hii wazee.. huu mbona ni ujambazi live!!Mkuu hauko peke yako hata mimi nimepigwa na kitu kizito mno, wanasema hakuna huduma ya kurejesha kwenye Normal labda ununue dekoda mpya. Aiseee Dstv wameniweza kuhusu hili.
Nimeenda ofisini kwao kabsa wakasema hawawezi kurudisha kwenye normal maana ule ni mkataba. Ukitaka ufurahi tena Lazima ununue dekoda nyingine.
Wale vijana ni washezi sana, wametuingiza kwenye mtego wa kipuuzi sana kwa taarifa yao mimi siwezi kulipia elfu 81 bora ninunue kingine.
Sitaki hata kuwasikia Azam. Wamewafanikiwa kuwasikia wanawake tu na watoto kwenye tamthilia za Revenge hata haiekeweki. Ukija kwenye Etigul na Ottoman nazo ni ovyo ovyo tu kila siku mapigano yasiyoeleweka yanakoanzia. Mtu anakuwa adui yako bila sababu. Wanawake ndio tamthilia zao. Nafikiri Wanaogopa kulipia tamthilia nzuri za kizungu. Kwenye tamthilia nimerudi zangu ITV,hawayumbi,tangu enzi za ACAPLUCOBAY na CAMILA. Matamthilia yao sio ya maigizo igizo,ni Yale ya seriousKwenye hili nawapa hongera sana Azam, yaani ukinunua kifurushi jana yake kwa mfano, labda cha elfu 23,000 halafu leo ukabadili mawazo na kutaka kifurushi cha 36,000 basi unawapigia na unawaeleza na kuwapa namba ya Decoder then unaongeza 13,000 wanakubadilishia chap...
hicho chuma hawezi akakipata kwani kinauzwa pamoja na dish lake!!labda kwa mafundi,dishTembelea kwa mawakala
wahi wateja wako riverside wanaisubiria tgo yaoKama ulikuwa na uwezo wa kulipia mwanzo lipa na sasa au umeachwa na mumeo aliyekuwa anakulipia?
Imagine mwanaume mzima na kende juu unakuja kulalamika kupandishwa kwa bei ya package ya DSTV? Unatakaje kwa mfano?
Kila kitu kimepanda bei hata bei ya unga wa dona iko juu tofauti na Januari/Februari nk.
Maisha yakikushinda tafuta mume msaidiane.
Sasa hivi ni rahisi kushtukiwa kwakuww dikoda ya biashara lazma iwe na nembo ya glass upande wa kulia wa tv yakoKiuhalisia sio utapeli, bei ya vifurushi vya dstv kwenye sehemu kama bar, kazini n.k ni tofauti na bei ya dstv kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Nadhani walitumia ujanja kuwanasa.
Kuna kipindi walikuwa wanawatumia vijana wanapita na kifaa fulani kama remote kwenye mabaa wakiclick kama king'amuzi hakijasajiliwa kutumika kwenye baa wanaona na wanaona namba za king'amuzi wanapeleka ofisini wanakifunga. Walikuwa wanapewa comission kutokana na ving'amuzi walivyonasa nadhani tshs 10000 kwa kila king'amuzi