Wale tuliowahi kujilamba Makamasi utotoni tukutane hapa haraka.

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Nikiwa mdogo nilikuwa nasikia raha kujilamba Kamasi, hadi Mama alikuwa ananigombeza. Weeee mtoto acha uchafu, Kwanini unalamba makamasi???. Basi taratibuuuu na nyanyua t-shirt au shati langu nililolivaa najipangusa. Nikipiga bancha, makohozi ninayameza, halafu nasikia km matamu vile.Yaani nilikuwa sishituki kabisa.
Ah!!, Utoto raha sana Unaweza kula kila aina ya Uchafu bila kudhurika. Asante Mungu uliyenilinda miaka mingi hadi kufikia sasa nimekuwa mtu mzima ninayejielewa.
 
Mbona msukuma akivuta bangi hawi hivi?
 
Hujui kuwa makamasi ni dawa? Ndio maana umefika hapo ulipo
Ni antibiotics hiyo na sio uchafu kama unavyofikiria.
Na kila mtoto awe mswahili, mwarabu au mzungu lazima katumia sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…