Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nikiwa mdogo nilikuwa nasikia raha kujilamba Kamasi, hadi Mama alikuwa ananigombeza. Weeee mtoto acha uchafu, Kwanini unalamba makamasi???. Basi taratibuuuu na nyanyua t-shirt au shati langu nililolivaa najipangusa. Nikipiga bancha, makohozi ninayameza, halafu nasikia km matamu vile.Yaani nilikuwa sishituki kabisa.
Ah!!, Utoto raha sana Unaweza kula kila aina ya Uchafu bila kudhurika. Asante Mungu uliyenilinda miaka mingi hadi kufikia sasa nimekuwa mtu mzima ninayejielewa.
Ah!!, Utoto raha sana Unaweza kula kila aina ya Uchafu bila kudhurika. Asante Mungu uliyenilinda miaka mingi hadi kufikia sasa nimekuwa mtu mzima ninayejielewa.