Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
[emoji2][emoji2][emoji2]mimi nilikuwa nagopa usiku bimkubwa masikio yako attention ile mbaya.Mwenzio nilikuwa navaa soksi za miguuni na mikononi,
Sometimes natambaa kama paka
[emoji3][emoji3][emoji3].
Husikii kishindo chochote.
Kidogo tu kashtuka. Katoka nje.
Sema nishawahi omba mzigo kwa beki tatu fulani alikuwa home.
Akanikataa kata kata halafu anaenda mpa zigo jsmaa mmoja anaitwa tall fundi muashi.
Yaani anaiba chakula home anampelekea tall na mimi mzigo sipewi.
Sasa kuna siku hela fulani ilipotea pale home na alipewa yeye anikabidhi akawa analeta kiswahili nikajua huyu beki 3 ana kiburi nilimwashia moto huo hatosahau majirani wakajaa dads wa watu analia.
Na nilifanya makusudi maana alitemea mbovu wakati namwomba mzigo enzi zile[emoji2][emoji1787]
Kipindi hiko nilijuwa ndio nimenaliza six nangoja majibu.
Hadi anaondoka yule dada alikuwa ananigopa ile mbaya[emoji2][emoji2][emoji1787]