Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mimi nachoona ni kwamba Bibi ajuza anapenda huu uzi uendelee maana anafaidi sana hizi hadithi akiwa mpweke huko kwao kisiju.
Kwa kutunza heshima yake ameamua kuwa kama marekani tu. Anapinga uvamizi wa urusi lakini chini kwa chini ananunua mafuta, mbolea n.k[emoji1787][emoji2]