Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Mwezi Julai kama sijakosea.
Ooh nawe Pia? Ndio maana nimechezwa na Machale.Hello... August Baby
See you in August.
Inaonekana hadi ufikie kuelewa kichwa chako kinahitaji Watt 5000 za Nishati.Subiri August ikaribie. Huu ni mwezi wa tano
Ooh nami naongezea tena Mwanangu (First Born)nimekuja kumuwakilisha ex wanguu
Aise Nimetaka tukutane tuliozaliwa mwezi wa Nane (Wewe kabila gani niongee kilugha uelewe)
Ooh nawe Pia? Ndio maana nimechezwa na Machale.
Ohooo! Ungechelewa basi na wewe uzaliwe August 18.August 14
sawaa babaOoh nami naongezea tena Mwanangu (First Born)