FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
[emoji48]Naomba nihitimishe kwa kusema kwamba haukua na adabu kabisa Gad'dem it....[emoji34]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji48]Naomba nihitimishe kwa kusema kwamba haukua na adabu kabisa Gad'dem it....[emoji34]
[emoji122]Huu uzi waalimu watakuàndama
Huu uzi waalimu watakuàndama
Naomba nihitimishe kwa kusema kwamba haukua na adabu kabisa Gad'dem it....[emoji34]
Ujinga Kugombana na Mwalimu , mkufunzi wako au mtu yeyote anaekuongoza ni kitu kibaya Sana kwani anaeza kufitinisha kwa namna yoyote ile ukashindwa kufikia malengo yako.
Success goes together with the Discipline.
[emoji122]Niliwahi twanga montress kisa kuniandika kwenye wapiga kelele
kweli mkuu unayoyasema kuniadhibu alikuwa sawa sababu nilichelewa!Unaonekana ulikuwa huna adabu halafu kaongo balaa.Na huyo mjomba wako hakuwa na busara na ujana ulimsumbua.Leo hii ukimkumbusha mlichomfanyia mwalimu wako atakulaumu sana.VIPI,siku hizi umekua?
duuh inaonekana vitasa uligawa vingi! 😂Mwalimu Baluya Mugabe Sec...
Vitasa vingi mno
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah...darasa la kwanza wiki ya 3...Kuna mwalimu wa kuchora alinizingua...nikamfuata ofisini..nikasambaratisha walimu ofisi nzima...na shule ikafungwa[emoji41]
Bravo! Ni mambo ambayo tunapaswa kuwaelekeza watoto wetu uvumilivu.kweli mkuu unayoyasema kuniadhibu alikuwa sawa sababu nilichelewa!
Lakini yeye alizidisha kipimo.
Naomba alipo popote namuomba anisamehe sana! Sio yeye tuu walimu woote pl/sec mnisamehe sana
Mbona kalimati haujatugawia?Dah...darasa la kwanza wiki ya 3...Kuna mwalimu wa kuchora alinizingua...nikamfuata ofisini..nikasambaratisha walimu ofisi nzima...na shule ikafungwa[emoji41]
Clap for your damn self!Lemme tell you something! Nilipokuwa darasa la saba nilikuwa natandikwa sana viboko na mwalimu mmoja wa hisabati kwa kutofikisha alama alizonipangia.Miaka hiyo kulikuwa na warudiaji sana wa darasa la saba(wale ambao hawakufaulu ).Kwa kuwa kabla ya hapo nilikuwa ndiyo kidume darasani kwa kuongoza,walipofika nilirudi nyuma kimaendeleo ya masomo.Nakumbuka walikuwa takribani 12.Kumbuka hapo ni miaka takribani 30 nyuma. Basi,mwalimu wa hisabati alitupangia kwa makundi Alana za kupata.Kulikuwa na waliopaswa kupata 20%,35%50%,70%,80% na 85%!Nikawa kwenye 85%Mimi nikawa mara ya kwanza naishia kwenye 70%Aisee,nilipigika kama mara nne hivi(majaribio manner mfululizo) Nilikaa nikatafakari.Kila ninapokwama kufikisha alama zitakiwazo na ninachuana na warudiaji moyo uliniuma sana.Nilikaza misuli.Warudiaji walinikoma na mwalimu yule alinipenda sana.Nilikuwa navuka hadi 90+% Mwanzo nilimchukia sana mwalimu na warudiaji wake lakini mwishowe nilimshukuru sana kwa kuninyoosha.Niligundua nilikuwa na changamoto zifuatazo;
-kuwaogopa warudiaji nikidhani wana akili kunizidi kumbe ni wajinga tu ndiyo maana walifeli.
-kuwachukia walimu waliowakubali warudiaji hao.Kumbe ilikuwa ni sehemu ya changamoto ya maisha nao walihitaji kusaidiwa/second chance.
-nilikuwa bado nina homa kali (hangover) ya kupokwa uongozi wa darasa kitaaluma nikanyong'onyea.Kumbe juhudi na maarifa na kuviruka vihunzi vya bakora vilinisawazisha nikaurudia "utukufu" wangu na ufalme kitaaluma.
-Hasira zangu kwa kutandikwa viboko vya kushindanishwa na warudiaji nilizitumia positively nikaweza.
MWISHO.
Sikumkunjia mwalimu ngumi.Nikayaona matunda.Nikajua kwamba "Life is a challenge, I had to meet it"! And,I smoothly did that!Hooray to me!
Hii ndoto unayoota, usiposhituliwa mapema utakojoa kitandani.Dah...darasa la kwanza wiki ya 3...Kuna mwalimu wa kuchora alinizingua...nikamfuata ofisini..nikasambaratisha walimu ofisi nzima...na shule ikafungwa[emoji41]
Already have had done million times!Gademn me!HahahahahaaaClap for your damn self!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utapata laana wewe.Write your reply...nilimcheka ticha alikuwa anafundisha hisabati darasani maana akati anaandika ubaoni chaki ilidondoka akainama kuiokota hapohapo aliachia ushuzi nlishindwa kuvumilia ndugu mtoa Mada japo wenzangu walijiziba midomo akaniona baadae akaamua kuniita ofsini akanizabua
sikukubali kpindi nlkuwa mtoto wa kitaa nina ndugu yangu anavuta bangi basi Yule ndugu yangu nilimwambia akawaambia wahuni wake "haiwezekani ampige dogo muhun mmoja alisema,,, kunya anye yeye halafu analeta ukuda" basi wakiji organize walikuwa wanne tukamvizia barabaran usiku anatoka kwa kademu Kake sjui mke wake maana ni mdada tu alkuwa kamchumbia kijiji jiran alitoka kumuona alikuwa anaendesha taratibu baiskeli yake aina ya phonex tulikuwa tunaliita tetanus maana likukata bahat mbaya ni bora ukachome hio sindano limechakaa sio poa
basi alkuwa anaendesha taratibu uku akiimba nyimbo zake za ottu jazz band basi wahuni wakasimama mbele ya barabara akasimamisha baskeli akawaambia wahuni na kiswahili chake cha kisukuma "madogo token hapo barabarani nitawagongaga"
wahuni wakacheka hahaha oyaa "kayuka" unamuelewa huyu mshamba anachoongea jamaa akasema hajui kiswahili mm nimejificha nachungulia basi bwana wakamfuata wakamkwida wakampa kichapo balaa alilia sanaa nikafunga shati kininja na Mimi nikaenda mzibua mafimbo baada ya hapo wahun wakachukua raba zake za DH (dingi hanauwezo) na shati lake la kitenge wakumuacha amezima akujaa class wiki anauguza vidonda matakoni
ila raba zake alimuona ndugu yangu kavaa na akaenda ripot kituo cha kijijini broo alivyopigwa vitasa na polisi aliongea ukweli ilibidi migambo itumwe kutufuata popote tulipo si unajua lile ni kosa la ushambuliaj na wizi
hahaha nmekumbuka mbali mtoa mada