maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
mzee hili baridi la Moto ikifika mida flani hivi unaeza hisi uko Njombe bila msaada wa ke utazinyanyasa sabuniakijitokeza ke anitag, miezi hii hapa Dom hali ya hewa ni changamoto.
Weekend imekwendaje wakuu? Kitambo sana sijatumikia mtandao wangu mpendwa JF ni kwa sababu mambo yakiingiliana
Nna Kama miezi minne tangu nikimbie hom nlikozaliwa na kuja kuanza maisha mapya hapa Dodoma
Kama na wewe mpambanaji ulokimbia kwenu na kuja kuanza maisha mapya Dodoma tusomane, walau tupeane michongo ya kumake hizo hizo zilizopo
Jumamosi tukutane Waswano kupunguza baridi manake ni shida sanamzee hili baridi la Moto ikifika mida flani hivi unaeza hisi uko Njombe bila msaada wa ke utazinyanyasa sabuni
sawasawa madam tukitoka waswano twende malaikaJumamosi tukutane Waswano kupunguza baridi manake ni shida sana
Malaika ya Shabibby au ABC?sawasawa madam tukitoka waswano twende malaika