Wale tulokimbia mikoani na kuja kuanzisha maisha mapya Dodoma tusomane

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Weekend imekwendaje wakuu? Kitambo sana sijatumikia mtandao wangu mpendwa JF ni kwa sababu mambo yakiingiliana

Nna Kama miezi minne tangu nikimbie hom nlikozaliwa na kuja kuanza maisha mapya hapa Dodoma

Kama na wewe mpambanaji ulokimbia kwenu na kuja kuanza maisha mapya Dodoma tusomane, walau tupeane michongo ya kumake hizo hizo zilizopo
 
akijitokeza ke anitag, miezi hii hapa Dom hali ya hewa ni changamoto.
 
Weekend imekwendaje wakuu? Kitambo sana sijatumikia mtandao wangu mpendwa JF ni kwa sababu mambo yakiingiliana

Nna Kama miezi minne tangu nikimbie hom nlikozaliwa na kuja kuanza maisha mapya hapa Dodoma

Kama na wewe mpambanaji ulokimbia kwenu na kuja kuanza maisha mapya Dodoma tusomane, walau tupeane michongo ya kumake hizo hizo zilizopo
mzee hili baridi la Moto ikifika mida flani hivi unaeza hisi uko Njombe bila msaada wa ke utazinyanyasa sabuni
Jumamosi tukutane Waswano kupunguza baridi manake ni shida sana
 
Back
Top Bottom