Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Uwanja wa futi 50 kwa 40 ambao ni square meter 200 unaonekana mdogo ila unapata kitu kama icho na ardhi yetu ni mchanga sio lazima sana kuweka mkanda chini ujenz wa gharama nafuu

Uwanja 2,500,000
Tofar 2700@900 = 2,430,000
cement 42@15000 =630000
nondo 18@2400 ni 432000
Komoto qubic moja 180000
maji 100000
fundi 1,200,000
kukod mbao za lint 75000
mbao za sahab 5@6000 = 30000
misumar 12000
usafir wa 40000

mchanga sijapigia hapo unajichimbia tu kwenye eneo lako dada alikuja na 12ml kesho kutwa tunapaua



Total ni kama 7,629,000/=

kupaua

mbao 2*2 ni 90*2800=252000
mbao 2*4 ni 90*4500=405000
fundi 1000,000
bati pc 87*22000=1,914,000
misumar ya bati & kench = 200000
kench waya 4@4000= 16000

total 3,762,000/=

jumla kuu 11,391,000/=

uharisia wa kweli ambao nauishi

hii ni kwa hesabu ya kisemvule mkuranga mchanga upo tu vifaa vya ujenz viwanda vipo mtaan nk 0744576060 View attachment 2070399

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
I dont care, hivyo ndivyo nilivyo kuta wenyeji wangu wanakuita.. So Upo OP kwa hoja za Uzi huu.. Kama una umia sana kwa Holo Jina Tuna weza pia kupaita Jina l sehemu za siri za Mama yako ili upate kumbukumbu yake ata akisha aga dunia.
Mkuu
Uzi wako ni mzuri. Usiufifishe kwa lugha tata. Ni bora ukawapigia kimya unaoona wanakukwaza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fala sana wewe ila umewaza jambo kubwa sana ambalo ndio linatokea sana katika maisha ya sasa watu wanajiona wamepungukiwa sana wanasahauu baraka walizopokea tena tele.Wanasema dunia rangi rangile asio na hili ana lile.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wanaojenga hawaongei ila nyie mnaongeja mabanda ya kuku ndo kelele kibao ad mnaanzisha na uzi kabisa

Tafuta pesa kua na pesa kila kitu utakiona cha kawaida nyumba moja unaongea Jf nzima
Nakujua nimetoka kukupa makavu kwa account nyingine uka kimbilia kujileta na a account nyingine.. usichokijua sikuizi kuna option hapa jf yakujua connections ya account za mtu mmoja ata ukiwa na sita . zinaonekana.. kajipange baba..
 
Dah umenifundish kitu ahsant kwa busara hizi Mungu akutangulie
 
Tafuta mafundi wanne wazoefu kila MTU na wakati wake utaona fundi mkweli kwa tasimin watakayokup ,kua makini wengine wanataka kupiga
 
Wanaojenga hawaongei ila nyie mnaongeja mabanda ya kuku ndo kelele kibao ad mnaanzisha na uzi kabisa

Tafuta pesa kua na pesa kila kitu utakiona cha kawaida nyumba moja unaongea Jf nzima

MAKASIRIKO.COM
 
Uwe serious basi na wewe,hii nyumba iliyoko kwenye picha una aanza na nondo pcs 25?,au umeandika kujifurahisha tu?
 
Kwa kibaha mlandizi nazani hesabu itakua bado ni hio hio
 
Hii nyumba ina vyumba vingapi?

Na inachukua sqr metre ngapi?
 
Hongera sana
 
Uwe serious basi na wewe,hii nyumba iliyoko kwenye picha una aanza na nondo pcs 25?,au umeandika kujifurahisha tu?
Kaka sina pakuwekasite haina hata uzio.. unataka nikarundike hapo ziibiwe?? nyumba inataka nondo 130 kwako unataka nikanunue zote nijaze site?? kwani zinasukwa zote kwa siku moja??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umenigusa ndg yangu 😢😢😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…