Ni Mlango Wa ChumaWanaojua mbao
Nisaidieni huu mlango ni mbao gani?? View attachment 2199131
Square meters 170 hiyo nyumba..... Like seriously?!vi4 ina kula sqm 170
Hiyo nyumba ni kubwa sana kwa bajeti ya tsh milioni 80. Hapo ili ikamilike kwa muonekano huo inatakiwa angalau milioni 150 na zaidiHebu kwa 80m lete mchanganuo maana kuna mdau kaambiwakama hyo sio chini ua 200m
Labda kama ipo town. Nje ya mji huwa ni majanga. Nyumba huko wanaweka sokoni zinakosa wateja sijui kwann.Kila la heri mkuu ukimaliza huo mjengo value ya hiyo property itakuwa sio chini ya milioni 300.
Hapo kama unabiashara yako tamu, unaweka hiyo nyumba collateral unaenda kuikopea na kusimamisha mjengo mngine..
Ndo mwazo wa utajiri huo mkuu
Utakuwa Mninga au MkongoWanaojua mbao
Nisaidieni huu mlango ni mbao gani?? View attachment 2200337
Wanaojua mbao
Nisaidieni huu mlango ni mbao gani?? View attachment 2200337
Lakini bado naamini kuna manguli humu wa kufahamua aina za mbao hata kwa kuiona tu.Sio mninga huo, unaweza kuwa n mtondoo but kujua aina ya mbao kwa kuangalia tu kwa picha n kazi ngumu sana mkuu amini
umedanganywa mzee, hiyo mpaka kuisha 200MNimeambiwa ni kati ya 74_80milion
Tena inaweza zidi hiyo. Mimi ndio nimemaliza nyumba yangu imekula 150m tena ni ya chini. Ila msingi ulitumia nondo nyingi na tofaliHiyo mpaka inaisha itakula kati ya 120-150 nina uhakika kwa hili
Tena inaweza zidi hiyo. Mimi ndio nimemaliza nyumba yangu imekula 150m tena ni ya chini. Ila msingi ulitumia nondo nyingi na tofali
Nilianza ujenzi August 2018Jengo kubwa sana hilo
Ila watu wanafikiri 150 ni nyingi
Ila Kweli yako hata 2 na ushee inaweza fika
Hongera zako
Vipi imekuchukua mda gani ili na wengine wajifunze
Maana mtu ukimwambia nimejenga kwa miaka 8 anakushangaa
Wale wapigaji, hata mie nilibisha kwenye ule uzi. Huyu bila kumchosha uhakika wa hiyo gharama anaujua mpaka hatua aliofikia. Mie nakubari mpaka 80mil kitu kimetulia.Hebu kwa 80m lete mchanganuo maana kuna mdau kaambiwakama hyo sio chini ua 200m