Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Hebu kwa 80m lete mchanganuo maana kuna mdau kaambiwakama hyo sio chini ua 200m
Hiyo nyumba ni kubwa sana kwa bajeti ya tsh milioni 80. Hapo ili ikamilike kwa muonekano huo inatakiwa angalau milioni 150 na zaidi
 
Kila la heri mkuu ukimaliza huo mjengo value ya hiyo property itakuwa sio chini ya milioni 300.

Hapo kama unabiashara yako tamu, unaweka hiyo nyumba collateral unaenda kuikopea na kusimamisha mjengo mngine..

Ndo mwazo wa utajiri huo mkuu
Labda kama ipo town. Nje ya mji huwa ni majanga. Nyumba huko wanaweka sokoni zinakosa wateja sijui kwann.
 
Wanaojua mbao
Nisaidieni huu mlango ni mbao gani??
tapatalk_1650907068625.jpeg
 
Sio mninga huo, unaweza kuwa n mtondoo but kujua aina ya mbao kwa kuangalia tu kwa picha n kazi ngumu sana mkuu amini
Lakini bado naamini kuna manguli humu wa kufahamua aina za mbao hata kwa kuiona tu.

Nasubiri wanipe msaada
 
Tena inaweza zidi hiyo. Mimi ndio nimemaliza nyumba yangu imekula 150m tena ni ya chini. Ila msingi ulitumia nondo nyingi na tofali

Jengo kubwa sana hilo
Ila watu wanafikiri 150 ni nyingi
Ila Kweli yako hata 2 na ushee inaweza fika
Hongera zako
Vipi imekuchukua mda gani ili na wengine wajifunze
Maana mtu ukimwambia nimejenga kwa miaka 8 anakushangaa
 
Jengo kubwa sana hilo
Ila watu wanafikiri 150 ni nyingi
Ila Kweli yako hata 2 na ushee inaweza fika
Hongera zako
Vipi imekuchukua mda gani ili na wengine wajifunze
Maana mtu ukimwambia nimejenga kwa miaka 8 anakushangaa
Nilianza ujenzi August 2018
 
Hebu kwa 80m lete mchanganuo maana kuna mdau kaambiwakama hyo sio chini ua 200m
Wale wapigaji, hata mie nilibisha kwenye ule uzi. Huyu bila kumchosha uhakika wa hiyo gharama anaujua mpaka hatua aliofikia. Mie nakubari mpaka 80mil kitu kimetulia.
 
Nikupongeze kwa hatua uliyoichukua ya kuanza ujenzi wa nyumba ya ndoto yako. Hata mimi niko mbioni kuanza ujenzi wa nyumba ya ndoto yangu baada ya kumaliza nyumba ya kwanza. Pia nikutie moyo kwamba wote waliofanikiwa walithubutu kuanza na changamoto zikiinuka unakabiliana nazo kwa msaada wa Mungu utafanikiwa.
All the best.
 
Back
Top Bottom