Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi.

Nimepewa number za wasambazaji wa Mchanga nime agiza lori 4.

Nimepita Duka la Hardware nime nunua Nondo za 16mm pc 25.

Jioni hii nimepita Kwa wauza Cement nime lipia mifuko 50 ila itakuwa inaletwa site taratibu kwa itaji la siku la Mafundi maana hawako mbali na site yangu na sina pakuweka.

Kwa sasa Niko mahali na Taka kununua Tank la Majin la simTank la l lita 4000lt.

Siku yangu imeisha kwa-ubize huu...

Vipi wenzangu!?? Mliopanga kuanza ujenzi mwaka huu mna mikakati ya kuanzaje.. ??

Pia naomba Wajenzi wazoefu nishauri chochote hapo.

Site yangu ipo Mbezi Beach ya Salasala Mwisho wa Lami mita 200 tu kutoka Lami ilipo.

Vifaa ni vyakuanzia tu awamu ya kwanza.. Nyumba niliyo ipost hapa chini ndio Ninayo ijenga na hiyo ni moja ya Mchoro wa Actual drawing from Wachoraji.View attachment 2065228View attachment 2065227
Nahisi mwenzangu Huna stress mimi ni ujenzi wa kwanza ramani yangu na yako hazitofautiani ila kuna pahala nime doubt fundi anasema foundation nitahitaji mifuko 400 eneo langu sio slope ni hapa shule ya msingi Ali hapi karibu na Moga primary school naomba nipe uzoefu mwenzangu foundation fundi kasema mifuko mingapi...maana mimi ukubwa wa jengo ni mita 21 kwa 21. Tafadhali nahisi anataka kunipiga...material zote nimeshakusanya kama wewe kasoro sementi nasita nahisi hakuna uhalisia...Tafadhali share uzoefu.
 
Kila la heri mkuu ukimaliza huo mjengo value ya hiyo property itakuwa sio chini ya milioni 300.

Hapo kama unabiashara yako tamu, unaweka hiyo nyumba collateral unaenda kuikopea na kusimamisha mjengo mngine..

Ndo mwazo wa utajiri huo mkuu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Umemshauri vizuri lakini sio kila mtu anajua kuzichanga na pesa za mikopo
 
Vyumba vingapi hii
Umejuaje itabaki chenchi kama hujui ni vyumba vingap?? Wanaume tuachage Midomo ya Kichawi.. mara ujenzi wa mdomo mara Hili mara lile.. Sasa kama vipi si na wewe ukajengee makalio yako kama una sisi tunajenge mdomo.
 
We mnafiki sana we jamaa
 
Umejuaje itabaki chenchi kama hujui ni vyumba vingap?? Wanaume tuachage Midomo ya Kichawi.. mara ujenzi wa mdomo mara Hili mara lile.. Sasa kama vipi si na wewe ukajengee makalio yako kama una sisi tunajenge mdomo.
Mimi nimejenga sija comment kitu ambacho hata sina a b c na ni vyumba vinne kwahiyo nilichongea ni kutokana na uzoefu sijakurupuka, sasa umekuja omba upatiwa mawazo cha ajabu unakua mjuaji
 
Mimi nimejenga sija comment kitu ambacho hata sina a b c na ni vyumba vinne kwahiyo nilichongea ni kutokana na uzoefu sijakurupuka, sasa umekuja omba upatiwa mawazo cha ajabu unakua mjuaji unakalia [emoji867]
Sijaomba ushauri wa kejeli za kuniambia najenga kwa mdomo.. Sihitaji Ushauri wa wapumbavu wenye vinywa vichafu..Kaingizwe Chupa Uko..
 
Ni sikuharibie uzi.. Ila kwa kauli hizi basi sawa usije sema nimekutilia nuksi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Embu soma Uzi mzima nime shauriwa n wangap nanika appretiate .. na interaction imekuwa nzuri mpaka ulipo ingia wewe kukejeli mara Ujenzi wa mdomo mara change itabaki.. huwo ndio Unauita ushauri?? kunatofauti ya Advise and Mocking.. I am very aware of people attitudes na huwa sina simile kwa mocking at a serious zone.. pls find your confort zone this is not your place...

Thanks
 
Oraa tupeanage na connection wengine humu mafundi wazuri tuu, mtupege madili, sio kututangazia mambo yenu na plan zenu wakat mnatunyima madili...

Mafundi wote humu em tuzame DM kwa huyu mleta mada akatuambie vzr tareh husika ya sisi kuanza kaz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Embu soma Uzi mzima nime shauriwa n wangap nanika appritiate .. na interaction imekuwa nzuri mpaka ulipo ingia wewe kukejeli mara Ujenzi wa mdomo mara change itabaki.. hiyo ndio Unaota ushauri?? kitofauti ya Advise and Mocking.. I am very aware of people attitudes na huwa sina simile kwa mocking at a serious zone.. pls find your confort zone this is not your place...

Thanks
Nimetoka kwenye mipasho naona unaendelea... Mimi nina uzoefu humu kwa kuwa wewe ndiyo unajenga nimekutia moyo cha ajabu umekurupuka kifala, sasa napokuambia chenchi itabaki unachopaniki ni nini ulitakaje we kweli ngedere, napokuambia kama unaanza ujenzi anza ukianza kuona ujenzi mgumu awali kwa kukatishwa tamaa husogei sasa hapo kosa lipo wapi hapo kweli we famba
 
Kwanza hongera kwa udhubutu.
ILa kwa 80mil sidhani kama nyumba itaisha kwa ramani uliotupia umu pitia upya makadilio yako usije ishia njiani ukizingatia vifaa vingi vya ujenzi vimepanda ghalama.
Kuwa makini na nondo zipo famba mtaani ukitaka jua ilo chukua chache tengeneza umbo la U ikikatika achana nayo utakuja haribu nyumba.
Kuwa site mda wote mafundi wengi wapigaji anaweza taja ela ndogo kwa labour charge akijua atafidia kwenye kukwapua material.
Paa kwa ramani iyo ni vyema ukawa na option mbili
1.bati dizaini ya kigae
2.kazia kigae cha Nabaki Africa au ALAF warranty 50 years
Pia zingatia kutumia treated timber sio izi ambazo watu wanatreat na food color mtaani kuwa makini
All the best comrade.
 
Ofcourse upo sawa baada ya kuwapa.wakadiria majenzi na wataalumu wa tadhimin wengi walichezea 80-100m but mm nimejipa kiasi cha chini ili niwe makini kubana matumizi but Kisaikologia najua itafika 100m..
 
All the best hakikisha manunuzi unafanya mwenyewe maana apo kuna namna ingine ya kupiga ukimtumia fundi au mtu mwengine
 
Back
Top Bottom