Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ahahahah huo ndio mtihaniMhm yataka moyo maana sie wengine ukishika million tuu tayari akili inahamia kwenye mbususu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah huo ndio mtihaniMhm yataka moyo maana sie wengine ukishika million tuu tayari akili inahamia kwenye mbususu
Mhm...huo utani mzeya...labda hiyo ni boma na kupaua pekee.
Hivyo vyumba vingapi na ni ukubwa gani?
Mkuu hongera sana sana.Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.
Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi.
Nimepewa number za wasambazaji wa Mchanga nime agiza lori 4.
Nimepita Duka la Hardware nime nunua Nondo za 16mm pc 25.
Jioni hii nimepita Kwa wauza Cement nime lipia mifuko 50 ila itakuwa inaletwa site taratibu kwa itaji la siku la Mafundi maana hawako mbali na site yangu na sina pakuweka.
Kwa sasa Niko mahali na Taka kununua Tank la Majin la simTank la l lita 4000lt.
Siku yangu imeisha kwa-ubize huu...
Vipi wenzangu!?? Mliopanga kuanza ujenzi mwaka huu mna mikakati ya kuanzaje.. ??
Pia naomba Wajenzi wazoefu nishauri chochote hapo.
Site yangu ipo Mbezi Beach ya Salasala Mwisho wa Lami mita 200 tu kutoka Lami ilipo.
Vifaa ni vyakuanzia tu awamu ya kwanza.. Nyumba niliyo ipost hapa chini ndio Ninayo ijenga na hiyo ni moja ya Mchoro wa Actual drawing from Wachoraji.View attachment 2065228View attachment 2065227
noted...Mkuu hongera sana sana.
Japo nimeshtuka uliposema..
"Fundi wako amekagua tofali"
1. Ghorofa unatumia fundi??
2. Je unajua ujenzi huo kisheria
Huruhusiwi kutumia fundi?
3. Kwamba wakipita wakaguzi yaani..
AQRB ujenzi wako utapewa stop order?
Ushauri wangu.
1. Tumia mafundi lakini..
2. Pata Qs kama consultant
3. Architect kama consultant
4. Eng. Kama consultant na msimamizi
wa mradi..
Note;
1. Ramani yako lazima igongwe muhuri na hao hapo juu ili uoewe sticker za kuweka kwenye kibao.
2. Hawa niliowataja kishkaji watakubeba na watakushauri mengi kuepuka hasara ya ujenzi kusimamishwa au nyumba kuporomoko.
Jifunze sana kutumia wataalam hautojuta mkuu.
Kwa macho yangu nilishsuhudia ilo watu wapuuzi sana.Kha yaani wanatumia foood colour ndio wanakwambia treated....watu wa aya jamani
Sure bro . tayari kuna Engineer anaye simama kama consultant yeye ndio kasimamia vibali.Mkuu hongera sana sana.
Japo nimeshtuka uliposema..
"Fundi wako amekagua tofali"
1. Ghorofa unatumia fundi??
2. Je unajua ujenzi huo kisheria
Huruhusiwi kutumia fundi?
3. Kwamba wakipita wakaguzi yaani..
AQRB ujenzi wako utapewa stop order?
Ushauri wangu.
1. Tumia mafundi lakini..
2. Pata Qs kama consultant
3. Architect kama consultant
4. Eng. Kama consultant na msimamizi
wa mradi..
Note;
1. Ramani yako lazima igongwe muhuri na hao hapo juu ili uoewe sticker za kuweka kwenye kibao.
2. Hawa niliowataja kishkaji watakubeba na watakushauri mengi kuepuka hasara ya ujenzi kusimamishwa au nyumba kuporomoko.
Jifunze sana kutumia wataalam hautojuta mkuu.
GoodSure bro . tayari kuna Engineer anaye simama kama consultant yeye ndio kasimamia vibali.
Ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mhm yataka moyo maana sie wengine ukishika million tuu tayari akili inahamia kwenye mbususu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SALASALA iko magharibi ya Bagamoyo Road, ambako hakuna beach, hakuna kitu kinachoitwa Mbezi Beach ya Salalala, huko ni simply SALASALA!
I dont care, hivyo ndivyo nilivyo kuta wenyeji wangu wanakuita.. So Upo OP kwa hoja za Uzi huu.. Kama una umia sana kwa Holo Jina Tuna weza pia kupaita Jina l sehemu za siri za Mama yako ili upate kumbukumbu yake ata akisha aga dunia.SALASALA iko magharibi ya Bagamoyo Road, ambako hakuna beach, hakuna kitu kinachoitwa Mbezi Beach ya Salalala, huko ni simply SALASALA!
asante kwa ushauri broNipo kupokea madini
Nami nina mpango wa kuanza kujenga ghorofa mwaka huu.
Endelea kushusha kila u alokutana nalo huko tujifunze.
Ila ungekuwa na hela za kutosha,ungenunua material kiwandani kupunguza gharama...nondo na simenti.
I dont care, hivyo ndivyo nilivyo kuta wenyeji wangu wanakuita..
Naomba kufahamu gharama za hii kitu..Mjengo wa maana huu. Dah hamna tender za concrete mixer mzeya nikakukodishia?
Sio kila memba humu ni broo man. Englishlady toka lini akawa broo, ha ha ha haasante kwa ushauri bro
70k mzeya usafiri juu yako.Naomba kufahamu gharama za hii kitu..