Wale tunaochukizwa na tabia ya sista fei tukutane apa

Wale tunaochukizwa na tabia ya sista fei tukutane apa

Kik hyo mkuuu mwache atapata anacho kitaka
 
Sijui nini kimempata jamani........kama kavurugwa ivi.mwenye timamu zake tena, mama mwenye watoto wa3 ana ndugu jamaa na marafiki haezi tenda atendayo

Kuna kitu haiko sawa asee
 
Back
Top Bottom