Wale tunaofanya kazi online tukutane hapa

Augustking

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
118
Reaction score
188
Habari zenu mafrelancer wenzangu? Dhumuni la uzi huu ni kuhitaji sehemu ambapo tutakutana na kushare ideas, tips and tricks na changamoto mbalimbali kwa wale ambao tunafanya kazi fiverr na upwork.

Mimi binafsi nafanya kazi fiverr full time now nina account 3 ninazozimiliki na kuziendesha mwenyewe.

Km tutakutana hata 50 frelancer tunaweza kutumiana link zetu na kuzifanyia promotion and kuzifavorite kwa fiverr. Hii itasaidia kuongeza impression, click rates na tunaweza kuwa tunanunua gigs zetu wenyewe ili kuongeza order complete rate, inbox response time pamoja na returning buyer rate hii itasaidia account zetu kupanda level na kuepuka kushuswa level wakati wa evaluation.
Thanks
 
Kweli dunia iko mbali nimetoka kapa hapa
 
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Watakuja wazee wa kudownload hela aka forex
 
Tupo mkuu, Fiverr & Upwork freelancer, vp kwenye account yako ya Fiverr features ya "Cash Advance" imewezeshwa?
 
Nipo hapa nafanya freelancing pia nafanya Mining so kwa link za mining mpya njoo ninazo kibao ikiwepo Pi,Bondex,Sidra bank nk karibu inbox nokujuze pesa za ubwerere za mtandaoni
 
Nipo hapa, nina akaunti Fiver, Freelancer, Up work, na nina akaunti LinkedIn kwa akili ya kutafuta orders, ila bado sijafanikiwa kupata mteja na ninapambana kwa kusoma huku na maeneo mengine ili ku improve zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…