Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 118
- 188
Habari zenu mafrelancer wenzangu? Dhumuni la uzi huu ni kuhitaji sehemu ambapo tutakutana na kushare ideas, tips and tricks na changamoto mbalimbali kwa wale ambao tunafanya kazi fiverr na upwork.
Mimi binafsi nafanya kazi fiverr full time now nina account 3 ninazozimiliki na kuziendesha mwenyewe.
Km tutakutana hata 50 frelancer tunaweza kutumiana link zetu na kuzifanyia promotion and kuzifavorite kwa fiverr. Hii itasaidia kuongeza impression, click rates na tunaweza kuwa tunanunua gigs zetu wenyewe ili kuongeza order complete rate, inbox response time pamoja na returning buyer rate hii itasaidia account zetu kupanda level na kuepuka kushuswa level wakati wa evaluation.
Thanks