Na kule kwenye kikao chetu mabaharia tumekubaliana kutofua nguo mara mbili...baharia yeyote atakayekiuka sheria kali zitachukuliwa dhidi yake...πππKweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule
3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1
Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu Sana
Je wewe kwanini unafua nguo Mara moja!!???
Sasa mbona title inasema na kuandika..Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule
3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1
Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu Sana
Je wewe kwanini unafua nguo Mara moja!!???
Sasa wewe umezidiMisifuagi, na siku nikijitahidi sana nitaloweka tu
Typing error mkuuSasa mbona title inasema na kuandika..
Na uzi unasema na kuanika tuelewe kipi
πππππMwanaume anaefua nguo zaidi ya mara moja inabidi aundiwe hati chafu na CAG
Yupo jamaa mmoja Ni rafikiangu huwa anafua nguo Zaid ya Mara 3Ndo maana ndege zetu zinakamatwa sa unafua nguo mara 3 kwa uchafu gani
Leo ni siku ya pili nimeloweka nguo zangu.Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule
3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1
Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu Sana
Je wewe kwanini unafua nguo Mara moja!!???
ππππππππLeo ni siku ya pili nimeloweka nguo zangu.
Na sijui lini nitazisuuza ili nizianike.
π π π π πNdo maana ndege zetu zinakamatwa sa unafua nguo mara 3 kwa uchafu gani
Hahaaa, zitanuka hizoo utazikimbia, jitahidi tu umalizie kazi uloianzaLeo ni siku ya pili nimeloweka nguo zangu.
Na sijui lini nitazisuuza ili nizianike.
Leo siku ya 3 asubuhi nimeamka mapema, nimezifanyia kazi.Hahaaa, zitanuka hizoo utazikimbia, jitahidi tu umalizie kazi uloianza
Bora unezifua. Naamini unezifua maramoja ukasuuza na kuzianikaLeo siku ya 3 asubuhi nimeamka mapema, nimezifanyia kazi.
Dah! Ila we acha tu.
kusema ukweli ,mimi siku hizi nafua nguo mara tatu,nikivaa tshirt leo kesho asubuhi navaa nyingine na hiyo niliyoivaa jana inafuliwa haraka, shati navaa asubuhi to mchana ,nikirudi geto napiga tshirt nalifua na hilo shati haraka
NB
sinuki kikwapa