Wale tunaofua nguo maramoja tu na kuandika tukutane hapa

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule
3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1
Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu Sana
Je wewe kwanini unafua nguo Mara moja!!???
 
Na kule kwenye kikao chetu mabaharia tumekubaliana kutofua nguo mara mbili...baharia yeyote atakayekiuka sheria kali zitachukuliwa dhidi yake...🙂🙂🙂
 
Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule
3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1
Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu Sana
Je wewe kwanini unafua nguo Mara moja!!???
Sasa mbona title inasema na kuandika..
Na uzi unasema na kuanika tuelewe kipi
 
kusema ukweli ,mimi siku hizi nafua nguo mara tatu,nikivaa tshirt leo kesho asubuhi navaa nyingine na hiyo niliyoivaa jana inafuliwa haraka, shati navaa asubuhi to mchana ,nikirudi geto napiga tshirt nalifua na hilo shati haraka

NB
sinuki kikwapa
 
Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule
3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1
Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu Sana
Je wewe kwanini unafua nguo Mara moja!!???
Leo ni siku ya pili nimeloweka nguo zangu.
Na sijui lini nitazisuuza ili nizianike.
 
kusema ukweli ,mimi siku hizi nafua nguo mara tatu,nikivaa tshirt leo kesho asubuhi navaa nyingine na hiyo niliyoivaa jana inafuliwa haraka, shati navaa asubuhi to mchana ,nikirudi geto napiga tshirt nalifua na hilo shati haraka

NB
sinuki kikwapa

mleta uzi amemaanisha wakati wa kufua huwa unairudia au ukishapikicha unasuuza imetoka?
 
Back
Top Bottom