Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu Tumekuelewa. Teh teh tehKumekuwa Na Jf New Member na Wazamani Ambao yani we Ukianzisha New Thread Yeye Atakuja Na Kufanya Quoted Ya Uzi Wote Alafu Anajibu Mistari Miwili Tu
mfano.
"Sawa Mkuu Tumekuelewa"
Sasa Kama Wewe Ni Mmoja Wao Badilika Acha Hizo Mambo.
Well saidKumekuwa Na Jf New Member na Wazamani Ambao yani we Ukianzisha New Thread Yeye Atakuja Na Kufanya Quoted Ya Uzi Wote Alafu Anajibu Mistari Miwili Tu
mfano.
"Sawa Mkuu Tumekuelewa"
Sasa Kama Wewe Ni Mmoja Wao Badilika Acha Hizo Mambo.
Kapisi niaje mkuuKweli inakereketa sana wajirekebishe
Ni Poa chaliiKapisi niaje mkuu
Heee moto wa kifuuWe Jirekebishe Bhana Najua Mkiambiwaga Mnakuja Juu Kama moto Wa Kifuu
Acha use...e, watz sio waogaHuyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu
Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo
Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile
Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
OkKumekuwa Na Jf New Member na Wazamani Ambao yani we Ukianzisha New Thread Yeye Atakuja Na Kufanya Quoted Ya Uzi Wote Alafu Anajibu Mistari Miwili Tu
mfano.
"Sawa Mkuu Tumekuelewa"
Sasa Kama Wewe Ni Mmoja Wao Badilika Acha Hizo Mambo.
Mmejaliwa matusi but poor charismaticAcha use...e, watz sio waoga
Ok