Wale Tunaokerwa Na Wale Wanao quote Nyuzi Ndefu Pitia Hapa

Wale Tunaokerwa Na Wale Wanao quote Nyuzi Ndefu Pitia Hapa

Kumekuwa Na Jf New Member na Wazamani Ambao yani we Ukianzisha New Thread Yeye Atakuja Na Kufanya Quoted Ya Uzi Wote Alafu Anajibu Mistari Miwili Tu
mfano.
"Sawa Mkuu Tumekuelewa"
Sasa Kama Wewe Ni Mmoja Wao Badilika Acha Hizo Mambo.
Well said
 
Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
Acha use...e, watz sio waoga
Kumekuwa Na Jf New Member na Wazamani Ambao yani we Ukianzisha New Thread Yeye Atakuja Na Kufanya Quoted Ya Uzi Wote Alafu Anajibu Mistari Miwili Tu
mfano.
"Sawa Mkuu Tumekuelewa"
Sasa Kama Wewe Ni Mmoja Wao Badilika Acha Hizo Mambo.
Ok
 
Back
Top Bottom