Wale Tunaokerwa Na Wale Wanao quote Nyuzi Ndefu Pitia Hapa

Wale Tunaokerwa Na Wale Wanao quote Nyuzi Ndefu Pitia Hapa

Wanafanya Uzi upoteze mantiki na kuwa mreeeeefu
Kipimo Cha Mkojo Kitapendeza Kwa Hawa Watu Najua Wanapitia Huu Uzi Alafu Wanaendelea Kupambana Na Hali Zao But elimu Haina Mipaka.
 
Mimi huwa nawachukulia kama wapumbafu wasiojitambua na wanaendeshwa na ufala akilini mwao.
 
Back
Top Bottom